Huyu Mayele ndio mnamwita straika jini?

Duh! Utopolo choka mbaya! Timu haijacheza game nyingi mfululizo kama za watani zake makolo kwa miaka 4 m! Lakini wanachokifanya hapa nikama wao ndo wamecheza game nyingi sana.
 
Eti mazee huyu anaekosa magoli ya wazi ambayo hata mimi na uzee wangu huu siwezi kukosa! Ndo huyuhuyu alieanzishiwa uzi na jamaa mmoja hapa jukwaan kwamba kwamiaka mi5 hakutatokea streka kama huyu! Niyakweli hayo?
Bila shaka umetuliza Mbupu zako au sio?
 
Eti mazee huyu anaekosa magoli ya wazi ambayo hata mimi na uzee wangu huu siwezi kukosa! Ndo huyuhuyu alieanzishiwa uzi na jamaa mmoja hapa jukwaan kwamba kwamiaka mi5 hakutatokea streka kama huyu! Niyakweli hayo?
Endelea na uzi wako mbona umeukimbia, mayele amekusikia na amekujibu leta jingine
 
Back
Top Bottom