Huyu mama mkwe simuelewi

Huyu mama mkwe simuelewi

Daah hakika dunia inaelekea kubaya. mtu unakuja kuomba ushauri umle Mama wa mke wako? mkweo alikuzalia mke? kweli bro au unatania tu?
 
Ndugu hata kama kajirahisi hivyo mpotezee mzaa chema huyu tizama umeanza na mama kisha mkwe basi ana daraja lake ila hajitambui achana na story za vijiweni "akizuka zuka nae "tumia uanamume wako hapo na si ubaradhuli
 
Yaani mademu wapo kibao hapa town unaweza kuwa Na michepuko mingi tu Ila sio kula mama mkwe!!
Nilidhani Mimi Ni mhuni kumbe kuna zaidi yangu aisee!!
 
Kazi unayo ndugu, pole sana, badala ya kumkimbia unaomba ushauri uende au usiende.?
 
Mkomalie huyo mama uweke heshima kuanzia sasa, mueleze wazi kuwa unamheshimu sana na uso mbadilishie kabisa. Ukimchekea, ukimkimbia sijui heshima, anaweza kufunga virago kuja kukaa na nyinyi huko mliko, utakimbia nyumba?
 
Huyo ni sawa na mama yako, kama mama yako mzazi una weza kumtafuna basi na huyo mkweo utaweza
 
anamzazi mmoja yani mama tu na babake nafikiri alikushavuta shuka long kidogo

Yaani hujui kama baba mkwe wako ni marehemu ama lah!! Kuna Tatizo kwenye ndoa yako ndy maana unamtamnai mama mkwe wako.
Stories zakutunga tuuuu hizo.kwanza unalalaje ukweni
 
Mama Mkwe?
Haupo serious wewe.
Acha upumbavu. Pata picha ndo mama ako ndo anamegwa kisela na kijana wa rika lako.
Tatizo si mama mkwe. Tatizo ni huyu mvulana anayediriki kulala ukweni.....

Afu eti hajui kama baba mkwe alishavuta au la???

Hadithi nyingine uwe unazipotezeaga tu. Manake hata Shigongo asingezichapisha.

BTW lengo lake kuu ni kuwafahamisha wachuchu wa hapa kuwa ana mwili uliojengeka. Kasahau wachuchu hawaangalii body bali pesa. Mabaunsa wakalinde tu kumbi za starehe...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom