Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,659
Nilivoona avi yako nikajua tu utakua umeandika nini
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umeua jombaaaaaaAhahahaha..!!Alaf baada ya hapo umeme ukarudi ndo kumuona mgonjwa wa njano ananawia mikono kwa kina Theo Walcott kwa mujibu wa Musiba na Mama ake Ng'ombe kwenye pikipiki ya miwa si ndio yule Sam Sasali ni usiku bado labda atakula dagaa wa S 2 Kizzy wala usiogope Shuka ni Kandambili za unga....
Nilijua tuu ww umetoka kijiji cha senge, na huwezi ukawa mzimaMKASA UNAENDELEA......
Tulipofika mbele kidogo mara akanishika Kidevu huku akilegeza macho huku mkono wake wa kushoto akiuchomeka katikati ya mapaja yake... . Nikamuuliza "Baby una nini tena , mbona hivyo? "
Akajibu kwa sauti ya mahaba , na kusema..... Nitekenye huku Hubby.
Nilipotaka kumshika katikati ya kifua chake, wakati naupeleka mkono wangu, Ghafla Umeme ukakatika , kama vile Tanesco walijua Temba leo anaua. Kumbe yote hiyo ilikuwa tunasikiliza nyimbo ya Mh. Temba na Dully sykes. ... [emoji2][emoji28][emoji24][emoji23][emoji4][emoji9][emoji14][emoji9][emoji3059][emoji9][emoji14][emoji854][emoji13][emoji14]
Ni mimi[emoji3][emoji3]Hivi huyo kwenye avatar ni wewe? [emoji12][emoji12]
Wewe ni fwalaa
Hahaha hii ni tangazo baada muvi kuendeleaí ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸ umeua jombaaaaaa
Hazijawahi kufanya hivyo na hazitegemei[emoji3][emoji3][emoji3]
Mi ni mtundu ila hilo nimeshindaga kufanyaHutaki chumvi wewe
Mi ni mtundu ila hilo nimeshindaga kufanya
Nipe mimi badala yake.Huna maana
[emoji3][emoji3][emoji3]Huna maana