MKASA UNAENDELEA......
Tulipofika mbele kidogo mara akanishika Kidevu huku akilegeza macho huku mkono wake wa kushoto akiuchomeka katikati ya mapaja yake... . Nikamuuliza "Baby una nini tena , mbona hivyo? "
Akajibu kwa sauti ya mahaba , na kusema..... Nitekenye huku Hubby.
Nilipotaka kumshika katikati ya kifua chake, wakati naupeleka mkono wangu, Ghafla Umeme ukakatika , kama vile Tanesco walijua Temba leo anaua. Kumbe yote hiyo ilikuwa tunasikiliza nyimbo ya Mh. Temba na Dully sykes. ... [emoji2][emoji28][emoji24][emoji23][emoji4][emoji9][emoji14][emoji9][emoji3059][emoji9][emoji14][emoji854][emoji13][emoji14]