Huyu kumbe ndo Joyce Kiria original!!

Huyu kumbe ndo Joyce Kiria original!!

Mbassa jr

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
1,234
Reaction score
3,238
Ama kweli make up zinawahifadhi wadada wengi wa mjini hivi huyu ndo naemuonaga kwenye screen au ni bi mkubwa ake???
2fad818e636a42e4f8d08f9c056e95b6.jpg
 
Hahaaa Omwanaa, mkuu kuna picha niliona wameweka watoto (2) kitoto kizurii cha kizungu na kitoto kiafrika afu wameweka caption , Kile kizungu kinaitwa Baby na Kile kiafrica kinaitwa Omwana ,nilicheka sanaa
Halafu kuna picha kama hizo mbili upande mmoja mzungu amesinzia,
Upande mwingine Muafrika mwenye sura mbaya amesinzia huku ameachama meno nje
Pale kwenye picha ya mzungu wameandika "Sleeping"
Halafu picha ya mbongo wameandika
"Ukugona"
 
Back
Top Bottom