Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,020
Sawa Dada Joy, TumekusikiaTatizo la vijana wa sasa na hata mwanzisha thredi anadhani hatakuja kuwa kikongwe. Sijui kwanini!!
Sawa Dada Joy, TumekusikiaTatizo la vijana wa sasa na hata mwanzisha thredi anadhani hatakuja kuwa kikongwe. Sijui kwanini!!
Hahaha we ni omwana au babyOmwana
HahahahaHahaaa Omwanaa, mkuu kuna picha niliona wameweka watoto (2) kitoto kizurii cha kizungu na kitoto kiafrika afu wameweka caption , Kile kizungu kinaitwa Baby na Kile kiafrica kinaitwa Omwana ,nilicheka sanaa
Hahaha naiomba iyo ya ukugona[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Halafu kuna picha kama hizo mbili upande mmoja mzungu amesinzia,
Upande mwingine Muafrika mwenye sura mbaya amesinzia huku ameachama meno nje
Pale kwenye picha ya mzungu wameandika "Sleeping"
Halafu picha ya mbongo wameandika
"Ukugona"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niwie radhi mkuu naomba nisijibu hili swaliHahaha we ni omwana au baby
Hahaaaaaa , watu sijui huwa wanawaza nini mpk kutengeneza hizo picha , [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu kuna picha kama hizo mbili upande mmoja mzungu amesinzia,
Upande mwingine Muafrika mwenye sura mbaya amesinzia huku ameachama meno nje
Pale kwenye picha ya mzungu wameandika "Sleeping"
Halafu picha ya mbongo wameandika
"Ukugona"
Akikupa nifowadieHahaha naiomba iyo ya ukugona[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]