Kipanya watch out... Not to that extent!!!!Hahahaha.....huyu kipanya asidhani ana uhuru KIIVYO...(in phd holder voice)

Uingereza yaomba msaada wa teknologia ya Nyuklia Tanzania.
Yatuma wataalam kujifunza zaidi
Rais asema hana tatizo nao.
Wataalamu wa anga kutoka Tanzani watumi kifaa kwenda Jupiter😀😀😀
Pale Tanzania itapokuwa the most powerful Nation on Planet. 🙂
ha ha ha ha anataka hivyo mkuu tufanyeje sasaDah we ni noma hahaaaaaa
Wataalamu wa anga kutoka Tanzani watumi kifaa kwenda Jupiter
kifaa kinakwenda kwa kasi sana kurejesha majibu baada ya miaka miwili
Dunia yawasifu wataalam hawa
Madaktari wa Tanzania wagundua dawa ya UKIMWIHaha!, wabongo sisi mwisho, huu utawala wanalo na wanaisoma namba vilevile. Sio kwa vijembe hivi asee. 😀
Madaktari wa Tanzania wagundua dawa ya UKIMWI
inatibu kwa siku kmi na nne tu
WHO waithibitisha, UKIMWI sasa basi
Tanzania kuifanya marekani kuwa koloni lake
Tanzani imeionya marekani kuhusu uzalishaji wa Nyuklia,Mkiitwa Centra mtaendawwenyewe mjue...lol!
Uwenda akawa yeye ndiye mwenguvu ndani ya nyumba kuliko baba Jeskaa. Nawafahamu wasukuma wengi sana ambao awana usemi ndani ya nyumba.Mama jesika ashika kinara cha mafirst lady wenye furaha duniani