nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
Idadi ya meli bandarini zimefikia 419 hadi kufikia saa mbili usiku huu na zingine 116 ziko njiani zaja.Haha! ''Bashite alipata div 1 point 7''. huwezi fungiwa milele kwa habari hii
Haha!! Hapo na simu tutapiga kumpongeza mwandishi wa habari!!Idadi ya meli bandarini zimefikia 419 hadi kufikia saa mbili usiku huu na zingine 116 ziko njiani zaja.
faru asikia raha tu na atatulia.....Kipanya katuni zake ni sawa na mtu anayempapasa faru makalio
Sijui nini anaexpect
HahahahahahahahahaRais wa Marekani aiomba msamaha Chato.