Huyu Kipanya Huyu...!.

Huyu Kipanya Huyu...!.

Tanzania itaanza kugawa misaada kwa nchi za Ulaya hivi karibuni, ikianza na nchi za Ulaya magharibi.
 
98% ya watanzania ni mambumbumbu, hawapendi ukweli bali udaku wa Kipanya na madudu ya Gwajima.
 
Hahahaha! Eti Tanzania yaisaidia japan


Unashangaa, mbona hii ni kweli. Tulikuwa tunasaidia Japan na nchi nyingine kipindi cha kina Mkapa, Mwinyi, Kikwete....tulikuwa tunaruhusu watu waje kuchota mchanga wa dhahabu na vikorokocho vingine vingi tu na kupeleka kwao huku sie tukiwa hatuambulii chochote kisha tunadanganywa kuwa Tanzania ni nchi masikini.
 
Magufuli tena!
Ni Shangwe kila kona ya nchi. Ni kutokana na kuongezeka kwa pato la MWANANCHI mmojamoja. Lafika tshs. 2,000,000 kwa mwaka. Avunja rekodi ya Watangulizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom