Huyu Kipanya Huyu...!.

Huyu Kipanya Huyu...!.

Hama kweli tumefik pabaya Sana...duhh leo nimecheka "tz yaisadia japan"
 
Jinsi Rais na RC walivyolibadirisha jiji la dar, na kuwa jiji la viwanda ndani ya mwaka mmoja.
 
😀😀😀

Pale Tanzania itapokuwa the most powerful Nation on Planet. 🙂
Wataalamu wa anga kutoka Tanzani watumi kifaa kwenda Jupiter

kifaa kinakwenda kwa kasi sana kurejesha majibu baada ya miaka miwili

Dunia yawasifu wataalam hawa
 
Wataalamu wa anga kutoka Tanzani watumi kifaa kwenda Jupiter

kifaa kinakwenda kwa kasi sana kurejesha majibu baada ya miaka miwili

Dunia yawasifu wataalam hawa


Haha!, wabongo sisi mwisho, huu utawala wanalo na wanaisoma namba vilevile. Sio kwa vijembe hivi asee. 😀
 
Mama jesika ashika kinara cha mafirst lady wenye furaha duniani
Uwenda akawa yeye ndiye mwenguvu ndani ya nyumba kuliko baba Jeskaa. Nawafahamu wasukuma wengi sana ambao awana usemi ndani ya nyumba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom