Huyu Kipanya Huyu...!.

Huyu Kipanya Huyu...!.

Watumishi wa umma wafurahia viwango vipya vya makato ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu
Walimu 74319 wapata ajira, huku kiwango cha chini cha mshahara kwa ngazi ya stashahada kikiwa 3,456,225/=TSH baada ya makato yote, wale wa shahada wapata ziada ya magari aina ya Toyota Alex na mafuta ya miezi mitano bure, elimu juu juu juuu zaidi..
 
Tanzania na matatizo ya afya bye bye.

Madaktari na watumishi wa afya wamwaga kila kona.

Vifaa na machine za uchunguzi sio Tatizo tena.

Vituo vya afya vyaboreshwa kwa kiwango cha kimataifa.

Sasa tunapokea wagonjwa kutoka ulaya na marekani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom