Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Sisi wakristu katika kanuni za kanisa / Mungu tunazuiwa kulitaja bure jina la Mungu.
Amri ya tatu ya mungu inasema usitaje jina la Mungu bure au kwa uongo.
"USITAJE BURE JINA LA MUNGU WAKO"
Sasa kunakiongozi mkubwa hapa Tanzania kila anaposimama jukwaani haachi kulitaja jina la Mungu bure. Tena anahaka ka msemo " msema ukweli ni mpenzi wa Mungu". Yani anatumia jina la mungu kusiliba uongo wake.
Mara ooh hata italy haijengei nyumba wahanga wa tetemeko alafu anamalizia na kusema "msema ukweli mpenzi wa Mungu."
Ninaomba tu ni mkumbushe kuwa Mungu sio wa mchezo mchezo. Atapata pigo baya sana kama hata acha hii tabia.