Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,659
- 8,285
Halafu serikali nayo imeshindwa kujua na kudhibiti?Nimewaza tu upande wa pili...
Mbona wanakuwaga na intelijensia ya mambo mengine?
Si ajabu panya road tu inakuaga gumzo
Halafu serikali nayo imeshindwa kujua na kudhibiti?Nimewaza tu upande wa pili...
Mkuu acha tuuHalafu serikali nayo imeshindwa kujua na kudhibiti?
Mbona wanakuwaga na intelijensia ya mambo mengine?
Si ajabu panya road tu inakuaga gumzo
Si swala la kudhani, wanajua kila kitu labda kama umechagua kuwa mtetezi wao wewe utuambie majibu yenu au yao.Mkuu kuna mengi sana ambayo hata nikikuuliza sijui kama utanijibu...
Mambo hayaendi kwa kudhania
Wewe ukiambiwa ulete ushuhuda utaletaSi swala la kudhani, wanajua kila kitu labda kama umechagua kuwa mtetezi wao wewe utuambie majibu yenu au yao.
Asiye ijua serikali hii nani mimi?
Siwezi kukujibu unavyotaka.
Kwanini mimi, na sio wewe unayetete na kufahamu kila kitu?Wewe ukiambiwa ulete ushuhuda utaleta
Mambo hayaendi kwa kudhania mpaka wamekaa kimya jua wanafatilia..Kwanini mimi, na sio wewe unayetete na kufahamu kila kitu?
Wataukubali huo ushuhuda?
Kwanini alifanya vile..?Ila jamani!mbona alivyotoka aliomba radhi?why😭😭😭
Mungu akusamehe wewe na genge lakaoKwanini alifanya vile..?
Mkuu niulize ntajibu, Mimi ni mtanzania mtiifu kabisa ofsa....Naomba nikuulize kitu mkuu kama utojari..
Na naomba nijibu kwa ufasaha
Hakutakiwa kuomba msamaha..Mungu akusamehe wewe na genge lakao
Sasa hapo kaomba na kapotea,asingeomba je?Hakutakiwa kuomba msamaha..
Kwanini aombe msamaha kwa kosa lipi
Sawa mkuu..Mkuu niulize ntajibu, Mimi ni mtanzania mtiifu kabisa ofsa....
Haiwezekani teka teka, ua ua yote hiyo polisi washindwe kupata pa kuanzia bhana!Kuna mambo yanatokea hata serikali au polisi hawajui wanaanzia wapi..
Na mbona wanakemea sana tyu mkuu
Wewe ni makalio yenye maviHakutakiwa kuomba msamaha..
Kwanini aombe msamaha kwa kosa lipi
Na wewe ni makalio ya mbaoWewe ni makalio yenye mavi
Ulichofanya wewe hakina tofauti na Gwajima. Sasa kosa lako ni lipi?
Naiman waliofanya hv sio serikali mkuuSasa hapo kaomba na kapotea,asingeomba je?
Dah upo dunia ya wapi wee kiumbe!Naiman waliofanya hv sio serikali mkuu