Huyu kijana alipatikana?

Huyu kijana alipatikana?

Kuna mambo yanaendelea..
Hivi mshawahi waza kama kuna kikundi cha watu kinafanya haya mambo ili tu watu wawe na uhusiano mbaya na serikali yao...
Ingekua hivyo basi serikali kwa kushirikiana na vyombo vya Dola ingekua mstari wa mbele kukemea hivi vitendo na jeshi letu lingetoa ushirikiano mkubwa sana. Rejea kauli za wale wabunge walioongea bungeni baada ya Martha Karua na Boniface Mwangi kufanyiwa unyama.
 
Ingekua hivyo basi serikali kwa kushirikiana na vyombo vya Dola ingekua mstari wa mbele kukemea hivi vitendo na jeshi letu lingetoa ushirikiano mkubwa sana. Rejea kauli za wale wabunge walioongea bungeni baada ya Martha Karia na Boniface Mwangi kufanyiwa unyama.
Kuna mambo yanatokea hata serikali au polisi hawajui wanaanzia wapi..

Na mbona wanakemea sana tyu mkuu
 
Kuna mambo yanatokea hata serikali au polisi hawajui wanaanzia wapi..

Na mbona wanakemea sana tyu mkuu
Hapana kaka, angalia mfululuzo wa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa na kuuwawa tukianza na Mdude, huyu dogo aliechoma picha, Ben Saanane, Azory na mzee Ally Kibao ambae alichomolewa kwenye basi mchana mweupe na polisi Kisha baadae mwili wake ukaokotwa. Rejea pia padri Kitima alieshambuliwa Kisha polisi wakazuga kumkamata mtu mmoja lakini mpaka dakika hii hakuna aliefunguliwa mashaka wala kufungwa. Na visa vyao wote vinafanana, ni kujaribu kuwakosoa watawala.

Visa kama hivyo vyombo vya Dola haviwekei mkazo kabisa na pengine ni kwa maelekezo maalum ila ikitokea mtu ameenda kinyume na matakwa Yao basi utaona jeshi lilivyo na ufanisi katika kumkamata watu, kuwatesa na kuwafikisha kwenye vyombo vya kisheria
 
Mkuu polisi wetu wanapambana sana jua hilo..
Mkuu mambo sio mepesi hivo kama unavyozani.
 
Mkuu polisi wetu wanapambana sana jua hilo..
Mkuu mambo sio mepesi hivo kama unavyozani.
Na kweli wanapambana sana maana walisimamisha basi, wakamchomoa Ally Kibao, kesho yake akaokotwa akiwa ameuwawa, pia walimbeba Mdude nyumbani kwake, wakamshusia kipigo Cha maana Kisha kuondoka nae na mpaka Leo mwili wake haujapatikana. Hata Boniface Mwangi walimkamata Serena hotel, wakampiga, wakamlawiti Kisha wakaenda kumtupa mpakani. Kweli polisi wetu wapambanaji sana maana hata juzi tumeshuhudia polisi mwenye nyota zake akishusha rungu kwa watu waliokua nje ya mahakama walipokuja kufuatilia kesi kwa ustaarabu kabisa bila kuleta fujo kama katiba yetu inavyoruhusu.
 
Sikupata taarifa vizuri naomba msaada
Huyu kijana alichora picha ya Samia kwa mikono yake kisha akaamua kuichoma baada ya kukasirishwa na mwenendo wa Samia. Akakamatwa akahukumiwa jela baada ya kukosa msaada wa kisheria. Wadau wakamuibua wakamchangia faini akatolewa ila baada ya siku chache akanyakuliwa kama kifaranga anyakuliwavyo na mwewe. Umeshaisha mwaka hajulikani alipo.
 
Back
Top Bottom