Amani ni hali ya utulivu na maelewano, ambayo mara nyingi huhusishwa na kutokuwepo kwa migogoro na vurugu. Inaweza ikajumuisha hisia pana zaidi ya ustawi kibinadamu, na usawa ndani ya jamii lakini haki ni takwa la msingi la binadamu ambalo pia hutegemea na sheria za sehemu husika mfano ni haki ya msingi kwa kila binadamu kuishi mpaka pale kifo kitakapomkuta na sio vinginevyo. Ingawa amani na haki ni dhana tofauti, zinaingiliana kwa karibu, utambuzi mzuri wa haki za binadamu hujenga taifa lenye Armani tele. Mkuu swali kwako je Tanzania ina Amani na haki?