Huyu kijana alipatikana?

Huyu kijana alipatikana?

and thats why nakuambia hao watu wanajulikana na wanalindwa na mamlaka za juu na ndio maana ni ngumu ku deal nao. swali kwako mr poor brain kuna mamlaka gan ya juu zaid ya raisi?
Hakuna mamlaka kubwa juu ya rais.. mkuu
 
Kuna mambo yanaendelea..
Hivi mshawahi waza kama kuna kikundi cha watu kinafanya haya mambo ili tu watu wawe na uhusiano mbaya na serikali yao...
Siyo kweli hata kidogo.

Shughulisha akili utauona ukweli, achana na propaganda za ccm.
 
Anaitwa Shedrack Yusuph Chaula, huyu kijana alichoma picha ya raisi wa JMT akuhukumiwa kwenda jela miaka miwili au kulipa faini. Wadau wakajikusanya wakamlipia faini. Aliporudi uraiani "watu wasiojulikana" wakamnyakua, mpaka leo hajulikani alipo.
Huwa nawaza ni bora angekuwa jela.... Lakini walisha mpoteza kisa picha.
 
Kijana alikuwa na mihemuko ya bange la kugongea....
Pamoja na yote ila kuchoma moto picha ya Rais kwenye nchi kama hii ni kujitakia mabaya, kwasababu mwisho wa siku ni wewe peke yako ndo utakalishwa kwenye chupa ya PEPSI bila utelezi...
 
Sikupata taarifa vizuri naomba msaada
Isije tu ikawa umekuja kupima kina cha maji. Kama mlishamuua, mtuambie tu. Ilani naamini damu ya huyu kijana haitawaacha salama. Kwa sababu ni ukweli ulio wazi; hakufanya kosa lolote lile.
 
Huyu dikteta kaua watanzania wengi sana.yaani kijana wa watu alichana tu picha ya huyu dikiteta na kuuliwa.Halafu yeye akiambiwa Kwa kutolea Mfano tu angekuwa mwanae angejisikiaje anakimbilia kufunga kanisa.madaraka ya kurithi ni hatari sana.
Tena picha yenyewe aliichora mwenyewe na akaichana mwenyewe wakamuua ,huyu mama ni ibilisi kamili
 
Kijana alikuwa na mihemuko ya bange la kugongea....
Pamoja na yote ila kuchoma moto picha ya Rais kwenye nchi kama hii ni kujitakia mabaya, kwasababu mwisho wa siku ni wewe peke yako ndo utakalishwa kwenye chupa ya PEPSI bila utelezi...
Ujinga tu wa viongozi hakuna lingine
 
Huyu dikteta kaua watanzania wengi sana.yaani kijana wa watu alichana tu picha ya huyu dikiteta na kuuliwa.Halafu yeye akiambiwa Kwa kutolea Mfano tu angekuwa mwanae angejisikiaje anakimbilia kufunga kanisa.madaraka ya kurithi ni hatari sana.
Na picha yenyewe ya Samia wala siyo ile inayotolewa na Serikali au Chama, ni ile ambayo kijana aliichora kwa mkono wake kisha akaona aichane. Mtu anauawa kwa kuchana picha aliyoichora mwenyewe ila mafisadi yanayolihujumu taifa hayauawi. 🙆
 
Kuna mambo yanaendelea..
Hivi mshawahi waza kama kuna kikundi cha watu kinafanya haya mambo ili tu watu wawe na uhusiano mbaya na serikali yao...
Jina lako lina akisi ulicho andika poorBrain😅, serikali ina mkono mrefu ingesha kikamata hicho kikundi cha hao watu.
 
Back
Top Bottom