Huyu kijana alipatikana?

Huyu kijana alipatikana?

Kuna mambo yanaendelea..
Hivi mshawahi waza kama kuna kikundi cha watu kinafanya haya mambo ili tu watu wawe na uhusiano mbaya na serikali yao...
Rais aliyeapa kuilinda katiba na watu wake yuko wapi? Si ni yeye anayewateua? Kama kuna watu walikuwa na mashaka na kuamini kuwa Samia anahujumiwa nadhani mmeona wenyewe jinsi ''alivyojibu'' hoja ya Gwajima ya kupotea kwa watanzania wasio na hatia.
 
Watu wa mbeya wanapotea tu, yule mmoja kwa bahati akapatikana katavi.
 
Rais aliyeapa kuilinda katiba na watu wake yuko wapi? Si ni yeye anayewateua? Kama kuna watu walikuwa na mashaka na kuamini kuwa Samia anahujumiwa nadhani mmeona wenyewe jinsi ''alivyojibu'' hoja ya Gwajima ya kupotea kwa watanzania wasio na hatia.
Nimewaza tuu mkuu..
 
Isije tu ikawa umekuja kupima kina cha maji. Kama mlishamuua, mtuambie tu. Ilani naamini damu ya huyu kijana haitawaacha salama. Kwa sababu ni ukweli ulio wazi; hakufanya kosa lolote lile.
Naomba ujiheshimu. Mimi ni Mwalimu na huwa nafanya bishara ya kinywaji aina ya Kangala
 
Mkuu unasemeq upande wako ila ungekua upande ule ungeelewa mambo yalivyo complicated....
Ndio mana tunataka Latina ibadilike, police hawawez kuwawajibisha watawala sababu watawala ndio wanawateua na ndio wanawatuma kazi za kishenzi...kama watu wametengeneza genge lakuua watu kama risasi basi turihusiwe kununua Silaha kama njugu ila kile mtu ajilinde, sababu wao wameshindwa kulinda raia
 
Naomba nikuulize kitu mkuu kama utojari..
Na naomba nijibu kwa ufasaha
 
Nenda kileleni mlima kilimanjaro kisha tuangalie huku chini Tanganyika, utaona jinsi tulivyo wajinga.

Ukiwa juu sikiliza frequency zingine achana na hizi za humu ndani utafunguka tu.
Mkuu kuna mengi sana ambayo hata nikikuuliza sijui kama utanijibu...
Mambo hayaendi kwa kudhania
 
Huyu alihukumiwa kifungo, akatewa kwa pesa zilizochangiwa na wananchi wapigania haki, alipotoka hakukaa sana akapotea kusikojulikana
 
Back
Top Bottom