comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,803
- 18,199
- Thread starter
- #41
ungejua tuuBALAA ZA VYUMBA VYA BEI RAHIS SHUHULI MKUU MOLA AKUWEZESHE KUJIONGEZA UHAME VICHOCHORON RLSE ZAMYYAKO INAKUJA
UNALIPA SH NGAP VILE RM
ungejua tuuBALAA ZA VYUMBA VYA BEI RAHIS SHUHULI MKUU MOLA AKUWEZESHE KUJIONGEZA UHAME VICHOCHORON RLSE ZAMYYAKO INAKUJA
UNALIPA SH NGAP VILE RM
nawezaje kumtangaza mtu ninaejua kwasasa anaijiuguza, sio poaIweke hapa kibaka huyo kama sio chai
duh!Hao vibaka walikuwa ni underground,ukija kujaribu hivyo katika mitaa ya manzese,mtambani,faru,milembe utakuja kufa jamaa ukizingua wanakuitia mwizi,kuna jamaa yetu kafa kwa kuchomwa moto ilihali ye si mwizi
hahahahhahavibaka washenzi sana ,kuna mmoja baada ya kumfikisha rokapu anaulizwa ameniibia nini anataja ameiba tv ya chogo na ukweli kwamba alikuwa kaiba tv flat, ilibidi nimzabe kofi kwanza.
kwasababu ya uoga ndio maana akauliza kwa hasira
wacha alambe mapengo tuuKuna Demu mmoja kitaani anacheza mpira,kuna siku anarudi chuo akakuta sister wake anapewa kisago na mademu wawili.
Yule Demu akaingilia alimtaimu mmoja wapo akampa kichwa cha mdomo asee meno ya mbele 3 yalitoka,damu zilimwagika nyingi mimi nilipofika eneo la tukio nilipoambiwa kuwa muhanga alipigwa kichwa sikuamini kwa wingi wa damu zilizokuwa chini.
Yule demu aliyepigwa kichwa akaenda polisi alipoulizwa umepigwa na nini akasema kapigwa na jiwe badala ya kusema kichwa.Mwisho wa kesi alilipwa fidia kubwa kumaliza ugomvi ila mpaka leo ana mapengo.
Duuh!. Mnakuwa mpaka na muda wa kuulizana maswali!?
KIBAKA: wewe boya umempiga mshkaji na jiwe kichwani nakuchoma na bisibisi!
COMRADE KIPEPE: ni ngumi hiyo, sio jiwe
Kama movie ya Kibongo vile.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama picha ya kihindi vileeeeee......dadeq
nishaisikia hiyo ngoma, jamaa kafikia dar mjomba kamzimia simu, kakutana na vibaka wanamshambulia sister akawapa kipigo mbayaBila shaka wewe ni Songa.
Uliyeimba wimbo wa Usiku
Acha kuwapa shavu vibaka wewe mkuu! Akuna asiyeogopa kufa hata kibaka mwenyewe anaogopa!Hao vibaka walikuwa ni underground,ukija kujaribu hivyo katika mitaa ya manzese,mtambani,faru,milembe utakuja kufa jamaa ukizingua wanakuitia mwizi,kuna jamaa yetu kafa kwa kuchomwa moto ilihali ye si mwizi
kwa ule mlio wa jiwe kichwani, halafu nikampiga mkwala kwaba ni ngumi, akaona pale sio salama bora aamshe tuuAcha kuwapa shavu vibaka wewe mkuu! Akuna asiyeogopa kufa hata kibaka mwenyewe anaogopa!
Sijawapa shavu vibaka mi mwenyewe nawachukia sana,unajua jamaa yetu hakuwa mwizi ni mtu mwenye mishe zake tu ila kachomwa moto kwa kuitiwa mwizi baada ya kuwa mbishi,yaani wao ndo wezi lakini wanakuitia wewe mwizi kutokana wao wanakuwa na kampani,Acha kuwapa shavu vibaka wewe mkuu! Akuna asiyeogopa kufa hata kibaka mwenyewe anaogopa!
DSTV ipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyumbani mzizi wa neno
Mowaaaa am kidnungejua tuu
poaMowaaaa am kidn
Tusogezeee ijumaaa ifike UWE na AMANI
Ra's
Pdidy
mamabo ya kawaida sana hayoDSTV ipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]