comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,803
- 18,204
- Thread starter
- #81
poa mkuuMkuu usipotoshwe. Acha tu kuhofia kesi ya mauwaji, hata revange pia.
Maana anayekushauri uanike hayo mapichapicha, aweza kuwa ndiye kibaka mwenyewe.
Pia usikubali ubinadamu wa kumrejeshea hizo nyaraka zake.
Binadamu mnyama kiasi hicho, wewe roho ya huruma unaipata wapi?
Undava undava tu. Sunda zote kwenye choo cha shimo hizo takataka zake ili kufuta ushahidi, akaanze upya kutafuta.