Huyu kaka hataki tuachane, nifanyaje?

Huyu kaka hataki tuachane, nifanyaje?

Huyu binti Shunie nshafanya mpango TB Joshua aje amuombee.

Sasa mtafiti anakuuliza maana ya neno, badala ya kujibu wewe unamuuliza tena... Khaaa!!
Tatzo lake ni mbish sana huyu binti aisee embu nsaidie kumuweka sawa
 
Niko kwenye mahusiano ambayo kiukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la mpekuzi.

Isitoshe siku ya J2 ya wiki hii anakuja kutoa mahari na kunivisha pete na nilishamwambia kuwa tuachane hataki.

Nifanye nini ili tuachane na sina mpango wa kuja kumzalia mtoto, na siku ya jana niliamua kumsaliti na mwanaume wangu wa utotoni.

Nilimpa taarifa kuwa naenda kulala na mwanaume mwingine baada ya kuona huyo dada akimpigia simu then akaja kumzimia baada ya kuona ugomvi ukaanzia hapo.

Naombeni mnishauri lengo langu ni kuachana naye ila yeye hataki tuachane, nimfanyie kitu gani kitakachomuumiza moyo wake mpaka anyooshe mkono juu asepe aende zake.
Kumnyima mashine na umpe unaemtaka huku akishuhudia.
 
Kweli vita vya panzi neema kwa kunguru... YAANI JAMAA LA UTOTONI LIMEGEGEDA HIVI HVI... NA TENA KWA MATANGAZO...
 
Sasa kma wewe unalalamika jamaa anawasiliana na wanawake zake wengine, mbona ww uliwasiliana na huyo bwana ako wa utotoni mpk mkapanga kwenda kutomboka..??? Au mlienda kutomboka bila kuwasiliana..??

Wewe ni type ya mwanamke wa kujipigia na kusepa. Hta ghetto kwangu sitotaka upajue.
 
Baada ya kuona hali inaendelea siku ya jana nikaona ni kheri ni msaliti nimechoshwa na vitimbi
 
Tatzo lake ni mbish sana huyu binti aisee embu nsaidie kumuweka sawa
Bonny kutomboka maana yake n kufoka au kumkalipia mtu limetokana na wakongo sema sisi wabongo sbbu tunapenda matusi tumeliingiza kwenye matusi
 
Huyu binti Shunie nshafanya mpango TB Joshua aje amuombee.

Sasa mtafiti anakuuliza maana ya neno, badala ya kujibu wewe unamuuliza tena... Khaaa!!
Babu mm sina mapepo ya kuja kuombewa, na huo utafiti wenu yangu macho mmekutana pwagu na pwaguzi.
 
Bonny kutomboka maana yake n kufoka au kumkalipia mtu limetokana na wakongo sema sisi wabongo sbbu tunapenda matusi tumeliingiza kwenye matusi
mama unakaa kinondon nn mbna umepata tafsir ya wacongo fasta hvo
 
Kweli vita vya panzi neema kwa kunguru... YAANI JAMAA LA UTOTONI LIMEGEGEDA HIVI HVI... NA TENA KWA MATANGAZO...
na usikute ata kumuoa hatamuoa ataishia mchezea mwisho wa siku majuto ni mjukuu
 
Back
Top Bottom