Huyu jamaa tumuweke kundi gani?

Huyu jamaa tumuweke kundi gani?

Kusema ukweli uchafu wengi wetu tumezoea. Unakuta mama ntilie anauza chakula hapa, kando kuna mfereji wa maji ya choo.
 
Dar es salaam kwa sehemu kubwa ni kuchafu sana na kunanuka. Wakazi wake ni wachafu sana.

Kuna majalala kila kona, kuna mitaro yenye maji machafu yasiyotembea yamelala na kuoza hata kuzalisha Mbu.

Kuna chemba zilizojaa vinyesi vya binadamu na Mara nyingine zinazibuka na maji ya vinyesi kuzagaa barabarani

Kuna joto kali na idadi kubwa ya watu, wengi wananuka jasho wake kwa waume

Kuna wanaume wanaotia kinyaa kwani hawana tofauti na wanawake waitwa mashoga

Hali ya hewa kwa ujumla sio nzuri ukiondoa maeneo ya karibu na ufukwe
Wapi picha wewe?
 
Back
Top Bottom