😂😂😂😂😂Kwa kweli.
Usimpe mtoto wa mtu kitu chochote ulichoanza kula, bora umnunulie au usimpe kabisa. Ukiendeleza huruma kunasiku linaweza kukukuta jambo.
Hii picha kama sio Dodoma sijui tu.....
Nimerudi kutazama picha, nimechekaa hatariiHadi Nzi hapo kwenye goti naye kaona hiyo plate haiingiliki.
Uko sahihi mfano huyo mtoto mteja ukampa chakula unakula akapata tatizo la kuharisha au lolote utatuhumiwa weweMmiliki na wafanyakazi wa eneo hilo wana makosa, huwezi kuruhusu mtu asiye mteja kusogea sehemu ya wateja ikiwa yeye siyo mteja.
(Privacy ni muhimu).
hapo ni sehemu ya kupata huduma, na Jamaa kaja kula ili kukidhi haja yake, tena kwa pesa yake na mda wake mwenyewe.
Haina haja ya kumlaumu ikiwa sio tatizo lake,. Sema mwamba kuwa bize na simu kazingua kidogo.
ange wasikiliza kibinadamu.
Imebidi nifuatilie kujua hii picha ilipigwa wapi na kweli nimepata ni Dodoma🙌🙌🙌Hii picha kama sio Dodoma sijui tu.....
Ndio maana hoteli zingine huajiri ma baunsa kuwatimua wanaoharibu biashara za watuWanaharibu biashara sababu mteja atatoka hapo na hasira huku akilaani... Ombaomba nawaona kama wale wadada wanaosukana kwenye mlango wa choo
Wapi wanafunzi wa Sunday school,,,tukumbushane Zama zetuToa ndugu toa ndugu,ulichonacho,Mungu atakuona mpaka Rohoni mwako×2!