Huyu jamaa ana roho mbaya Iseee!

Huyu jamaa ana roho mbaya Iseee!

Mwenye tatizo ni huyo mama.anamtumia mtoto il aonewe huruma ili kupatiwa msaada.Ni sawa na wazee kupanda daladala imejaa halafu akimwona kijana amekaa kwenye kiti anachukia eti lazima apishwe wakati umeingia unaona kabisa imejaa.kama unataka kukaa kwenye kiti nunua gari Yako au usubiri ambayo haijajaa
 
Inaonyesha hao ni akina mbukwenyi,atawapa wangapi Wakati nae kanunua?
Serious na hali ilivyo ngumu nowadays mtu kajibana toka asubuhi walau jioni apate msosi flani tu wakumridhisha nafsi,. Mara anakutana na hao tena looh
 
Roho mbaya kivipi wakati dogo yuko mbali sana hata mimi nisingeweza kumuona kwa jinsi dogo alivyosimama mbali.
 
Kuna siku nilikua restaurant, ni Mbezi beach vile, napata lunch, mara akatokea kijana wa kati ya 12 - had 15 yrs, akasogea nilipo, haongei ila ananitazama tyuuh, kwa muonekano wake ni km wale watoto wa mtaani, yaan yuko rafu, nlijskia aibu na huruma, nkamuagizia chakula, akakataa akasema bas nipe hela nikale nyumbani na wenzangu, nikampa 3k akashukuru na kuondoka.

Baadae eti wahudumu wananiuliza km nimempa chochote, nikajibu ndyo nimempa hela, wanashangaa na kulaumu eti yule ndo kawaida yake kufata wateja na kuomba, sasa km wanajua hawataki, kwann wanaruhusu aingie? Mie nikala nikalipa bill nikaondoka zangu. Ila niliwaza sana, mtoto km yule awe omba omba ili familia ishibe, nikajisemea kweli Dunia ni duara. 😢😢😢

Ila huyo baba sio mstaarabu na hana utu, mtoto mdogo huyo kashindwa kumkaribisha ale, mmmh
 
Hahaha,. Ulikua unajiskiaje unavyomjibu😄😅😂
Nlikua fresh tu huku natafuna tu ile mifupa kama fisi, nlikua siipendi hiyo tabia yao ilikua inanikera mnooo, sijawahi ona tabia ya vile kwingine zaidi ya Dodoma
 
Wanakera bana yani ni kila ukikaa zako bar unapiga menu waje kuomba omba.
Siku nyingine nmelala zangu hadi mida ya saa nne bado nmeuchapa mara mlango unagongwa kutoka nakutana na kibibi cha kigogo eti naomba chai, nkamwambia chai hamna na gas ilikua imeisha hata sijapika, akasema naomba chochote........wagogo 🙌🙌🙌
Toa ndugu toa ndugu,ulichonacho,Mungu atakuona mpaka Rohoni mwako×2!
 
Mwenye tatizo ni huyo mama.anamtumia mtoto il aonewe huruma ili kupatiwa msaada.Ni sawa na wazee kupanda daladala imejaa halafu akimwona kijana amekaa kwenye kiti anachukia eti lazima apishwe wakati umeingia unaona kabisa imejaa.kama unataka kukaa kwenye kiti nunua gari Yako au usubiri ambayo haijajaa
Wacha nikae Mzee!
 
Hao watu jau Sana kuna siku nilipitia mahala Kula ...of course ni bar halafu chakula pale ni ghali kidogo wakaja vijana kama watatu hivi wanataka sadaka ya kujenga msikiti...

Yaani wanapita meza Kwa meza walipofika kwangu nikamwambia Mimi ni mkristo na nafuga mbuzi katoliki na ndiyo njia yangu ya kupatia kipato...lahaula wakakomaa na vitisho vya hapa na pale kuhusu kiama eti niwape hivyo hivyo ...siyo kesi nikatoa buku mbili.

Kimbembe walifika meza ya jamaa mmoja mbona walikoma ...aliwapiga vifungu vya Qur'an wakabaki wameduwaa hawajui lolote...mwisho WA siku akawaita wezi ikabidi tuanze kudai pesa zetu tuliotoa
😂😂😂😂😂
 
Nlikua fresh tu huku natafuna tu ile mifupa kama fisi, nlikua siipendi hiyo tabia yao ilikua inanikera mnooo, sijawahi ona tabia ya vile kwingine zaidi ya Dodoma
Halafu wao wanajionea kawaida tu hawawazi wala nini
 
Wao wanalenga tu pesa .. wanajua watu wa aina hii wakija kwenye restaurant zao nyie wateja mtaingiwa na "roho ya huruma" na kuwanunulia chakula. Hii haifai kabisa
Wanaharibu biashara sababu mteja atatoka hapo na hasira huku akilaani... Ombaomba nawaona kama wale wadada wanaosukana kwenye mlango wa choo
 
Wanakera bana yani ni kila ukikaa zako bar unapiga menu waje kuomba omba.
Siku nyingine nmelala zangu hadi mida ya saa nne bado nmeuchapa mara mlango unagongwa kutoka nakutana na kibibi cha kigogo eti naomba chai, nkamwambia chai hamna na gas ilikua imeisha hata sijapika, akasema naomba chochote........wagogo 🙌🙌🙌
Wanapiga na hodi kabisa😃😂😂😅
 
Wewe unaona ni sahihi huyo mama kumpeleka huyo mtoto mezani kwa mteja namna hiyo?

Alafu mama anaonekana anataka hicho chakula cha jamaa kwa lazima ndio maana jamaa amejivika roho mbaya 😀
Mimi nisingempa kabisa,binafsi nishajiwekea misingi yangu siwezi kamwe kumsaidia omba omba,hawa watu unakuta alishaumiza watu huko,sasa yuko kwenye malipo ya kitu alichokifanya
 
Hadi Nzi hapo kwenye goti naye kaona hiyo plate haiingiliki.
 
Back
Top Bottom