Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Kwamba kiasili wao ni omba omba 😂🤣
Kama umeingia akilini mwangu
Wewe unautani na wagogo😂😂😂
Kuna siku nlipita mahali kula nikaagiza chips na nyama choma Dodoma hapo, akaja dogo mmoja akakaa ananitolea macho kama huyo....mi nkamkaushia tu nikaendelea kula akaona mmh nyama itaisha hii akaniuliza hiyo nyama ina chumvi nikamjibu ndio, naona anatafuta tena gia ya kuomba akauliza ni tamu...mimi ndioo huku naendelea kutafuna tu mifupa 😂😂😂Wagogo kwenye moja na mbili au sio😃😃😅
Wagogo wa ajabu sana too much