Huyu Jamaa Aliyesimama Kushoto Kwa Rais Magufuli Ni Mlinzi?Je Yuko Sahihi Kwa Akifanyacho?

Sawa kama hahusiki inakuaje anaachwa anazama mfukoni anatoa leso namna ile au anakaa mitaa ile ambayo kwa mkono tu anamfikia prezdaa, hebu ngoja nimwite mwandamizi GENTAMYCINE aseme kama ndo wanafundwa hivyo pake eagle wing
Ukiona mtu ameingia kwenye security bubble ya Mh Rais ujue keshafanyiwa upembuzi yakinifu na watu wenye kazi zao. Usifikiri amesimama pale bahati mbaya.
 
Mtoa mada acha majungu yule n mlinzi lazima acheki usalama wa mr prezda awezi kuganda kama sanamu kwani we umeambiwa walinzi wanaganda kama sanamu acha izo
 
Niliwaambia Jana kupitia makala yangu kawa rais wetu awe makini hasahasa kuelekea Dodoma moderator wakaondoa huo Uzi sasa na wewe kumbe umeanza kuwa na mashaka na walinzi wa rais
Time will tell
Hizi ni kauli za UCHOCHEZI na UVUNJAJI WA SHERIA. UKiitwa sasa hivi kutolea maelezo haya maandiko yako hapa kuhusu Usalama wa Rais utaweza kutoa Ushahidi pasipo na shaka!?
 
Wengine hapa wanajifanya kwamba hiyo sio hoja ya kujadili.Ukweli ni kwamba,huyo kama ni miongoni mwa wanausalama wa rais,hafai hata kwa dawa ila kama ni MC wa hiyo shughuli basi hapo hamna neno....
 
atakuwa mc huyo sio mlinzi..na hata kama ni mc mimi nazani wazee wa protocol walikosea wangmtoa hapo mbele coz anatia doa .
 
Jambo la msingi uwepo wake jukwaa kuu tu ndio unatia hofu ta safu ya ulinzi, sie tunao mfahamu ndio tunajua kuwa anautwa berege lakini wanao tutazama hata majirani zetu hawatajua kuwa yupo ofisi ya naibu spika bali wataponda safu yetu ya ulinzi wa raisi,kwa hiyo uwepo wake umetuharibia muonekano makini wa ulinzi wetu.
 
Jambo la msingi uwepo wake jukwaa kuu tu ndio unatia hofu ta safu ya ulinzi, sie tunao mfahamu ndio tunajua kuwa anautwa berege lakini wanao tutazama hata majirani zetu hawatajua kuwa yupo ofisi ya naibu spika bali wataponda safu yetu ya ulinzi wa raisi,kwa hiyo uwepo wake umetuharibia muonekano makini wa ulinzi wetu.
safi kabisa,na ndio maana kwenye uzi wangu hapo juu nikasema hakupaswa kuepo hapo,anatuharibia image ya walinzi wetu wa mtukufu raisi..wazee
wa protocol hapo walipitiwa
 
Ila kama ni mlinzi basi umakini wake ni mdogo sana
Japo sijui kiundani ila naamin binadamu anapocheka umakin wake hupungua hasa katika kujihami au kulinda

Isimamaji wake unatia mashaka kama kweli anaweza kufanya jambo la haraka anapohitajika kufanya hivyo

Tafadhal sana kaka huyo mr president tumepewa na Mungu kama zawad so tulindie zawadi yetu kaka
Jamaa tumesoma naye Jitegemee, alikuwa head prefect wangu, sidhani kama ni mlinzi.
 
Huyo sio mlinzi..bt mind you ana kazi ake special
mjeshi wa sare na yule wa black suit ndo mara zote huwa na Mh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom