Huyu Jamaa Aliyesimama Kushoto Kwa Rais Magufuli Ni Mlinzi?Je Yuko Sahihi Kwa Akifanyacho?

Ila kama ni mlinzi basi umakini wake ni mdogo sana
Japo sijui kiundani ila naamin binadamu anapocheka umakin wake hupungua hasa katika kujihami au kulinda

Isimamaji wake unatia mashaka kama kweli anaweza kufanya jambo la haraka anapohitajika kufanya hivyo

Tafadhal sana kaka huyo mr president tumepewa na Mungu kama zawad so tulindie zawadi yetu kaka
 
Mmh hili nalo !!, tuna haja ya kulijadili kweli.?
Kabisa Mkuu tena kama kweli ni mlinzi ingekuwa nchi za wenzetu ni jambo ambalo lingeteka vichwa vya habari vya news media na lingezua mjadala mkubwa sana....mlinzi wa rais huwezi ukakaa kihasarahasara kama hyo Jamaa....mara sijui kajifuta jasho....Mara kageuka geuka...Mara anamwangalia mh rais Viatu....Mara anamtathimini juu mpaka chini....yaani kasahau kabisa Kazi yake anafanya mengine Kabisa...inawezekana akawa Mc wa event nadhani....mlinzi wa rais hawezi kuwa nare nare kiasi hicho..
 
Ebu Mwangalie Vizuri:
a)Anacheka cheka hovyo!
b)Asimami Wima Wowote
c)Anawayawaya Uku na Uko
d)Je Kwa Hali Hii Usalama wa Raisi Upo Sawasawa?

Huyo sio MwanaUsalama, Ni MsemaChochote aka Mc wa Hafla hiyo.


 
huyo siyo mlinzi japo siwajui walinzi wake wote,,,,,,kikawaida rais anaposimama kuzungumza nyuma yake wanakuwepo watu wawili tu(mwanajeshi(ambaye ni mpambe wa Rais) na mwingine ni wale wasuti nyeusi) na mbele ya jukwaa husima wengine wawili yaani mmoja momoja kila kona na nyuma ivo ivo ,,,,,so kwa muktadha huo huyo siyo mlinzi kuanzi kimuonekano mpaka usimamaji wake pia
 
Ebu Mwangalie Vizuri:
a)Anacheka cheka hovyo!
b)Asimami Wima Wowote
c)Anawayawaya Uku na Uko
d)Je Kwa Hali Hii Usalama wa Raisi Upo Sawasawa?



Ni vyema ungetambua majukumu ya Aide - De - Camp ndio uwe na mantiki ya kukosoa utendaji wake. Kwa kukusaidia tu huyo bwana hahusiki na Usalama wa Mheshimiwa Rais.
 
Ila kama ni mlinzi basi umakini wake ni mdogo sana
Japo sijui kiundani ila naamin binadamu anapocheka umakin wake hupungua hasa katika kujihami au kulinda

Isimamaji wake unatia mashaka kama kweli anaweza kufanya jambo la haraka anapohitajika kufanya hivyo

Tafadhal sana kaka huyo mr president tumepewa na Mungu kama zawad so tulindie zawadi yetu kaka
kuna zawadi zingine hutolewa baada ya kuwa "reject".
 
Msikilize Mh Rais katika dakika ya 04:19 mpaka 04:29 kwa makini kasema nn. Anasema katika ilani ya CCM 2015/20000.
 
Hizi topic hizi, dah.... Ahsante kwa kuanzisha thread kwenye jukwaa la siasa.
 
Inamaana hata hajielewi kabsa mungu wangu nn maana ya mlinzi sasa,yaani kwakweli km hiyo siku ningekuepo mm km mm kweli ningenyenyua mkono alfu raisi akiniuliza unasemaje ningemwambia tu ulinzi wa huyu mlinzi wako moja ukalie jikoni sio huku kweli yaani kwanza aminikwaza saaaaaaana tena yaani we acha tu kwanza anaitwa vile? Angalia kwanza mapete kwenye vidole mlinzi gani huyooooooo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom