Huyu Jamaa Aliyesimama Kushoto Kwa Rais Magufuli Ni Mlinzi?Je Yuko Sahihi Kwa Akifanyacho?

Nimeona ameinama akainuka akawa kama amesikia harufu ya kitu sijui amehisi nini maana anatazama huku mara kule kama vile adui anatokea chini
 
Kama ni mlinzi yul atarudishwa chuoni au ameshaondolewa kwenye first ring....hafai labda kama amebebwa awekwe pale sababu mtoto wa wakubwa wa usalama! Hana hadhi ya kuwa pale!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom