Huyu houseboy simuelewi jamani

Huyu houseboy simuelewi jamani

Nimepima mkuu na ninajijua afya yangu kwa mapana na marefu huwa nashangaa sana humu jf watu wanapotokwa na povu bila kujua afya zao.
Itakuwa safi mkuu. Je wewe umeshapima? Siku hizi suala la kupina liwe ni sehemu tu ya maisha hasa kwa wale wenye mahusiano (wenye ndo wakiwemo maana tunaongoza kwa vvu).
 
elewa mwana sisi hatujawah kumhisi kuwa ana ngoma wala hatujamwambia akapime.Ameshawishiwa na rafiki ake mtaani wameenda baada ya majibu kuwa hivo amerudi home na kumwambia maza.Familia yetu iko na imani kubwa na hakuna aliewahi kufanya michezo mibaya kama wengine wanavyosema.Ishu hapa ni huyu dogo ana ngoma nn kifanyike

Sorry, wewe ni mvulana?
 
Nimepima mkuu na ninajijua afya yangu kwa mapana na marefu huwa nashangaa sana humu jf watu wanapotokwa na povu bila kujua afya zao.

Sure mkuu binafsi naona kuna baadhi ya members wanashambulia sana negatively kuhusu ukimwi. Hujafa hujaumbika!!! Cha msingi tutiane moyo na kuhamasisha kila mtu ajipime. Hakika siku unapata majibu unakuta wewe huna VVU na pengine njia zako hazikuwa clean sana,basi kuanzia siku hiyo utabadilisha mfumo wa ngono. Pimeni, msiogope!!! Usisubiri hadi CD4 zishuke bila kujitambua!!! Bora upime kama umeathirika utajipanga hasa kwa kuhakikisha unapata milo balanced kwa ajili ya kupandisha CD4. ARVs ni noma.
 
Pole sana mkuu, jamaa kama angekuwa anatoka kenya ningewashauri mkampime na huyo ng'ombe kwani hao jamaa wana tabia ya kuwaingilia hadi ng'ombe/wanyama (tafadhari nisieleweke vibaya kwani huo ndio uhalisia)!
 
Pole sana mkuu, jamaa kama angekuwa anatoka kenya ningewashauri mkampime na huyo ng'ombe kwani hao jamaa wana tabia ya kuwaingilia hadi ng'ombe/wanyama (tafadhari nisieleweke vibaya kwani huo ndio uhalisia)!



Mmoja kutoka kule kwa mura akasema mchunga mbuzi ni lazima awapande.
 
hapo vungen kama mnataka kuuza hako kamfugo na kumwambia kaz basi ili akiweweseka mwambie kama anataka aendelee kaz lazma atumie dawa,au fanyen kama mnampeleka pale kituo cha polis huenda akaogopa na kaacha kutongoza jilan na huyo housgal
 
mpeni ushauri nasaha wa kutosha waungwana, ataelewa tu, na mwambieni kushi na VVU, si kifo, tena anaweza kushi miaka 10 mbele ijayo, akizingatia ushauri mzuri. lakini inaonekana hapo nyumbani mmeshaanza kumtenga na mnamnyanyasa, kauli zako ndio nimekujaji.
 
Huyo anahitaji ushauri wa mara kwa mara...!

Endeleeni kumshauri bila kuchoka atakubali tuu kuanza kutumia hizo dawa..!

Msimtenge wala kumrudisha kijijini..!
 
yes mm ne ME na nimepima na nategemea kufunga ndoa na kimwana wangu tar 7june ila hapa naelezea ishu inayoendelea home

Namna yako ya uandishi na mtiririko wako wa mawazo, nikadhani ni hawa wavulana wasiokuwa wa kiume...hongera kwa kupima na salamu kwa kimwana wako!
 
Muuzeni huyo ng'ombe kuanza upya sio ujinga mjomba....!atarudi mwenyewe Iringa huko mchekeeni kesho familia nzima ianze kuombana ARV maana hawa wafanyakazi wa ndani utata pande zote.
 
usicheze na ulimwengu,

ukikuelemea utajuta.
 
Wew mwenyewe unamnyanyapaa huyo houseboy wenu! Unajiona wa mjin halafu mataw ya juu! "Hana hadhi" Sidhan kama mtaendelea kumkarimu huyo jamaa had hurum! But story imekaa kikusadikika vile!
 
Back
Top Bottom