Huyu houseboy simuelewi jamani

Huyu houseboy simuelewi jamani

kama kuna mshauri nasaha humu ani pm nimpe hii deal jaman manake hom hatuna hiyo taaluma ya councelling
 
Kazi ndogo sana... Kinacho mkalisha pale si ni yule mfugo wenu.... Basi mpigeni kisu mfugo au muuzeni mfugo... Akiona hana kazi automatic atajiongeza kurudi makwao...
 
Haya. Maswala ya HIV magumu embu kila. Mmoja wetu akapime kesho baada ya kupewa majibu ataweza kutoa ushauri mzuri kwa. Thread za aina hii
 
Kazi ndogo sana... Kinacho mkalisha pale si ni yule mfugo wenu.... Basi mpigeni kisu mfugo au muuzeni mfugo... Akiona hana kazi automatic atajiongeza kurudi makwao...

huu ni woga au? tatizo ni mchunga mfugo na si mfugo.
 
Sijawahi kuona Mfanyakazi akimkazia bosi wake afu Bosi akawa mnyonge namna hiyo
 
mpeleke Ambiance au Buguruni akasafishe nyota ila asisahau zana
 
Wadau sio kwamba housboy ametuzidi power waajiri wake hapana,hapa tunajaribu kuangalia sensitivity ya hii ishu.Kama angekua ameanza kiburi tu mbona fasta tungesha mtema lakn jamaa anapga kazi na hajawahi onyesha kiburi ishu ni hili gonjwa na nature ya kazi azifanyazo ndo mziki hapi na tutumie busara gani kumtoa au kama abaki katika utaratibu upi wadau. Hakuna wazoefu wa hizi mambo humu ndani jaman hasa wale waelimisha rika
 
Muanzishieni ratiba y kupata ka glasi kwa juice,then muweekeeni hizo ARV ndani ya hiyo juice.Liwalo na Liwe
 
Hii taarifa ina utata kwa sababu huyu bwana kapima mara moja na hapo hapo kaambiwa kula dawa. Ili mtu aanzishiwe dawa, anatakiwa awe na VVU na CD4 ziwe chini ya 400.

Kama kweli kapima mara moja na kuambiwa kuanza dawa, nashauri afanyiwe vipimo zaidi na kupewa ushauri nasaha!!
 
Hapa ishu ni hausiboyi au haushigelo?
Kongosho ni wewe unayeweza kujibu hii chemshabongo!
 
Last edited by a moderator:
VVU havimzuii mtu kuendelea kupasua kokoto au kukata majani. Huyo mvumilieni kidogo mpaka aamini maana yuko kwenye denial. Huko kuongeza kasi ya kutongoza ni katika kukataa tatizo. Mkimpa sapoti ya kutosha (kutokumchoka) atakuja kukubali hali na ushauri pia.
 
Ukiona House Girl anaanza ukimya jua basi atakuwa kaanza kumegwa, sasa hapo kama Mzee Mwenye Nyumba alipita nawe ukawa unapita kwa House Girl, Nunueni kabisa Makufuli maana ndani ya Miaka mitatu itabidi nyumba nzima ifungwe kwa ukosefu wa watu.
 
Hapa minaona tujiulize ngoma kapata wap??? So ajabu ndani humohumo stak nifike Mbali nisije nikachafua Hali ya hewaaaaaaaaaaaaa. Think big wanangu in the world of great thinkers ....
 
Back
Top Bottom