Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,154
- 4,520
Naombeni picha ya sasa hivi
Hebu tumia JF V.A.R labda kunakitu tutakiona
hapo mzee bado ni waziri wa barabara
Mmefukua makaburi Daah aisee wabongo hatari
Mbona hana kipara,hajafanana na babake.Wabongo kwa figisu figisu mpaka mtoto wa watu kakimbia chuo! Ila mrembo hata mm nikikutana nako, nitalia mpaka kieleweke aisee.
Wachumia tumbo shida sana Mkuu. SameheMkuu kanaliza 2011. Ila matokeo yalitoka 2012, piga hesabu 2012 2013 certificate, 2013, 2014, dploma one 2014 2015, kamaliza dploma 2015, 2016 frist year....sasa yeye yupo second year. Jiulize kafikaje
Ya soda na Keki ya jeroAu ndio huyu.alisema aliolewa na harusi ikawa ya kawaida isiyo na mbwembwe
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaKutokana na comments za wadau kuhusu huyu binti, kama haya ni kielelezo cha 10% ya vijana wote TZ, basi hiyo Tanzania ya Viwanda ni ndoto, labda viwanda vya kutengeneza vitumbua