Huyu hapa Jesca John Magufuli

Huyu hapa Jesca John Magufuli

Hivi kama ndiyo number yake! Unadhani is it fair?? Kuweka number yake hapa?? Lengo lako ni nini?? Asumbuliwe au?? Sio poa kabisa!!
Sio kweliii nasikia wana private number.
 
Wandugu polen na msiba mzito....nimekuja hapa naombeni profile ya bint kipenz wa hayati JPM ambae n Jesca Magufuli...nimeshindwa kuweka picha yake.
Mkuu ndy umemjua leo? Mbona wakati baba yake yuko hai ukuomba?
 
Hivi kama ndiyo number yake! Unadhani is it fair?? Kuweka number yake hapa?? Lengo lako ni nini?? Asumbuliwe au?? Sio poa kabisa!!
Sasa namba na wewe kitu Cha ajabu?
Mbona Mimi Nina namba za wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wote na ni kitu Cha kawaida,msifanye Mambo magumu Sana.
 
Back
Top Bottom