Huyu hapa Jesca John Magufuli

Huyu hapa Jesca John Magufuli

Wekeni picha mbona za kina Riz 1 mlikua mnaweka? Kweli baba jesca alijua kuwakomesha mpk sasa mnaogopa kama utaonwa vile
 
Hivi kama ndiyo number yake! Unadhani is it fair?? Kuweka number yake hapa?? Lengo lako ni nini?? Asumbuliwe au?? Sio poa kabisa!!
Sio namba yake hiyo mkuu namba naifahamu ni ya Ebitoke hiyo namba
 
Hivi kama ndiyo number yake! Unadhani is it fair?? Kuweka number yake hapa?? Lengo lako ni nini?? Asumbuliwe au?? Sio poa kabisa!!
We Jeremiah hutaki dada ako apate bwana na wewe upate shemeji????
 
Wandugu polen na msiba mzito....nimekuja hapa naombeni profile ya bint kipenz wa hayati JPM ambae n Jesca Magufuli...nimeshindwa kuweka picha yake.
Ili iweje? Ngoja msiba uishe ukamtafute huyo Jesca. Nani alikwambia kuwa Jesca ndiye kipenzi cha Magufuli na si Janet au mama yake? Je huyu binti ni Jessica au Jesca?
 
Utawasiliana na mataga hapo utafinywa mbupu ya weusi hadi useme I'D yako hapa JF.
Hivi kama ndiyo number yake! Unadhani is it fair?? Kuweka number yake hapa?? Lengo lako ni nini?? Asumbuliwe au?? Sio poa kabisa!!
1
 
Wabongo siyo watu wazuri nimepiga ile no kapojea Mange Kimambi na cyo Jesca
 
Back
Top Bottom