Huyu hapa Jesca John Magufuli

She is presentable. Genes za upole za mama yake amezibeba. Ina maaa kuwa hana mtoto mwingine wa kike ,why Jesca all the timeanaongelew? Halacu kuandika picha za watu bila ridhaa yao mleta uzi so jambo jema ujue?
Huyo alikua ni first family wetu mkuu not just any person nadhan anajua kuna gharama za hio position kwahio usijali kabisa
 
Pole mrembo..
20210321_063524.jpg
 
Wandugu polen na msiba mzito....nimekuja hapa naombeni profile ya bint kipenz wa hayati JPM ambae n Jesca Magufuli...nimeshindwa kuweka picha yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom