Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 2,882
- 7,916
- Thread starter
- #61
Chamsingi mifumo inasomana.Chaumma wameteua mtu jimbo hili ambaye hata fomu hajaomba
Chamsingi mifumo inasomana.Chaumma wameteua mtu jimbo hili ambaye hata fomu hajaomba
Hapana, katokana na mama yetu kipenzi chaguo la mioyo yetu.Aisee!..Ponjoro kweli kweli, swali ni Je! alitokana na wajumbe au?..
Siyo mbayaHapana, katokana na mama yetu kipenzi chaguo la mioyo yetu.
Safi sanaHongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
View attachment 3451320
Naam.Safi sana
Yuko fit, ni chaguo la samia na wenzake.Hahahaha 😂😂😂😂😂
Mbona kama mgonjwa huyuu
wale alioHongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
SASA WEWE UNAYESEMA WANANCHI HAWATUKUBALI, UNABISHA ULIKUWEPO?
View attachment 3451320
Naunga mkono hoja, Hata Rostam au kijana wake Bashe poa tu.2030 tunawaomba mtuleteeni Ponjoro wa kupeperusha pendera kubwa ya chama.
Tunaelekea kuwa kama marekani na ulaya.Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
SASA WEWE UNAYESEMA WANANCHI HAWATUKUBALI, UNABISHA ULIKUWEPO?
View attachment 3451320
Naam.Tunaelekea kuwa kama marekani na ulaya.
Sawa,una akili nyingi sana. Rostam Aziz yupo tayari.2030 tunawaomba mtuleteeni Ponjoro wa kupeperusha pendera kubwa ya chama.
Hawa ponjoro wanapitaga huko kwa wajinga wenye njaa. Wakiwa bungeni kazi yao ni kuhujumu mienendo yoyote dhidi ya maslahi ya wawekezaji wababaishaji na wanyonyaji wa umma. Ikitakikana sheria ya maslahi kwa umma wanaizima. Pia wanatumika na mabwanyenye kuhonga wabunge.Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
SASA WEWE UNAYESEMA WANANCHI HAWATUKUBALI, UNABISHA ULIKUWEPO?
View attachment 3451320
Unaweza usipate picha halisi ya jinsi wazee wetu walivyowapokea wakoloni/wafanyabishara wa utumwa nk mnamo karne iliyopita lakini HII picha inakupa mwangaza kabisa.Picha linakuonyesha namna mwafrika/mtu mweusi akinyimwa elimu anavyoBEHAVE🤣Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
SASA WEWE UNAYESEMA WANANCHI HAWATUKUBALI, UNABISHA ULIKUWEPO?
View attachment 3451320
PatheticHongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
SASA WEWE UNAYESEMA WANANCHI HAWATUKUBALI, UNABISHA ULIKUWEPO?
View attachment 3451320
Singidani wote wajinga mpaka mtafute expatriate akawawakilishe?Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
SASA WEWE UNAYESEMA WANANCHI HAWATUKUBALI, UNABISHA ULIKUWEPO?
View attachment 3451320