ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,083
- 84,973
Maskini Ukiwa Mbunge mbaazi atalima nani? 😂😂Siasa zetu zilipofikia, Mkono tupu haulambwi 🙌
Maskini Ukiwa Mbunge mbaazi atalima nani? 😂😂Siasa zetu zilipofikia, Mkono tupu haulambwi 🙌
Mama yako.Maskini Ukiwa Mbunge mbaazi atalima nani? 😂😂
Mzee hawezi Lima ,hiyo ni kazi Yako wewe maskiniMama yako.
Huyu mwamba alishinda mara mbili enzi za magu akamkata,alikua hataki mabilionea Magu😆Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
View attachment 3451320
Mara 3 mfululizo wajumbe wana mtakaAlipendekezwa na wajumbe au ni chaguo la wanamtandao?
Hahaha................basi wajitahidi kutuletea bei nzuriMaskini Ukiwa Mbunge mbaazi atalima nani? 😂😂
Au akaokote chupa za plastic. Au sio ponjoroSasa maskini unawezaje kuwa mbunge? Hebu kalime mbaazi huko.
huyo mzee hiyo midabwada ya kanzi si akafueHongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
View attachment 3451320
Ipi hiyohuyo mzee hiyo midabwada ya kanzi si akafue
😅😅🙌Lucas Mwashambwa ameshatolewa mahari na Ridhiwani Kikwete
Sa100 ana balaa.Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
View attachment 3451320
Chaumma wameteua mtu jimbo hili ambaye hata fomu hajaombaHongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
View attachment 3451320