Huyu demu vipi? Moyo wangu unaanza kusita japo nimemfukuzia kwa mieze sita!!

Wanawake wazuri tuna raha sn kuna m2 kachangia apo juu huwaga tuna list kbs mmoja akizingua unachukua cv ya mwingine unaajiri!proud to be hot kwakweli!

Tuoneeni huruma jamani sie wengine tunakuwa na mapenzi ya dhati!!

Mabint huwa hamsemi ukweli!

Hakuna binadamu asiyedanganya hata kidogo inategemea na yeye mwenyewe anaendaje! Akimuendea kisharo milionea lazima ashikwe masikio.......lakini akienda kwa nia thabiti kabisa na msimamo madhubuti wa kuweza kuchallenge na kureason ile response ya huyo binti, basi lazima atapata majibu sahihi. Thats why nikasema atumie zaidi akili kuliko hisia coz anaonekana kudata na uzuri wa mdada. Yeye awe makini tu sio kila atakachojitetea huyo binti basi ndo akiamini, anatakiwa na yeye kama mwanaume ajiongeze, tena na hako kamuda ka field katamsaidia sana kujua ukweli(if he's serious) la sivyo atawekwa kwenye foleni!

Jamani kuna demu mkali ile mbaya nilimtokea tangu mwezi february 2011, tangu nilipoanza kumdondokea usoni amekuwa aniambia kuwa tutaongea nisubiri akipata nafasi!

Leo nikiwa mitaa ya samora sina hili wa lile mara namuona demu yupo mbele yangu akitabasamu kwa tabasaaaam kaliiii! Nikamsalimia kwa mbwembwe za kiume akajibu na kusema ananjaa na hana pesa basi nikamwambia twende steers apate msosi. Wakati akiendelea kula nami nikipata soda nikakumbushia kilio changu juu yake,akaniambia "naomba nikupe ukweli" akasema siku zote alizokuwa ananiambia nisubili ni kuwa alikuwa na boyfriend jana jamaa yake kamwambia ana demu mwingine hivyo kafurahi baada ya kuniona na kuanzia leo hupo tayari kuwa na mimi. Wakati akiendelea kuongea mara huyo jamaa yake akapiga simu na kumwambia yupo chuoni kwa demu yule anamsubiri!

Kwakuwa yule demu anajua kuwa mimi ninakampuni ananiomba kuja kufanya field kwa mgongo wa mapenzi,anasema ametafuta field kwingine kakosa!

Hivi hili ni penzi la kweli au ni gumashi? Kinachoniuma zaidi tangu miezi hiyo amekuwa akinipa matumaini ya kuwa na mimi huku akisema tatizo yupo bize hivyo ni mvumilie akipata tu nafasi tutaunga na kuwa chombo changu bila kuniambia kuwa anajamaaa!!

Moyo wangu unaanza kusita sasa kulikubali jibu lake japo nimelitafuta kwa mieze yote sita!

hiyo red yaonyesha mmekutana... sharobaro... na sharobaby... hamna mapenzi hapo.. kama vip! mega sepa

ningemjua huo dada ningemwambia akatae kwa sababu wewe ni fataki,si una mke na watoto wawili wewe?au unadhani hatukujui?khaaaaaaaaaa kaka umalaa utakuua, ukimwi uko likizo au?

ningemjua huo dada ningemwambia akatae kwa sababu wewe ni fataki,si una mke na watoto wawili wewe?au unadhani hatukujui?khaaaaaaaaaa kaka umalaa utakuua, ukimwi uko likizo au?

Unatisha shangingi! Umenipa baraka yakuwa na mke na watoto naamini unabii wako utatimia!!

Mkuu majority ya wasichana wazuri huwa hawawi single. Yani kila akiwa na jamaa kunakuwa na jamaa wengine kibao wamepanga foleni. Na punde anapoachana na jamaa mmoja huwa anachagua moja ya jamaa walioko kwenye list anampa chance. Nadhani ni destine kuwa mmekutana 2 days baada ya yeye kumwagana na huyu fool mwengine. Unatakiwa u-seize the opportunity na kutawala hilo koloni kabla jamaa mwengine hajatawala. Invest kwa demu probably hiyo investment itakuja ku mature kama bonds na stocks. Demu kachanganyikiwa sasa hivi na wewe ndio unaweza kumpa comfort na direction. Take care of her she will take good care of you -- thats just how it is kwa mademu wazuri mkuu. They never stay single.

Kuna dada mmoja mzuri sana nilikuwa namtokea last yr nikawa siulizii kama ana bwana au vipi mpaka yeye mwenyewe akaniuliza mbona huniulizi kama nna bwana au vipi? Nikamwambia look- mtoto mzuri kama wewe huwezi kuwa single. mimi nimemwaga sera zangu now it is up 2 you kuamua kama uko impressed and convinced and make a decision. Nikajikusanyia!

We Mkareeeeeeeeeeeeeeeee! umesema yote mpaka ambayo nilikuwa nataka kuyaongezea! Jason kazi kwako sasa lakini maushauri ya ukweli ndio hayo umepewa!

Aisee. Yeriko hakuwa wa mchezo mchezo
na wakati huo alikuwa anaslai kwa munuo eliya mungu wa pili..hahahahaha aliyekaa mochwari siku tatu akaenda kuzikwa bagamoyo wao wakasema amepaa! ametwaliwa na wamemuona akichukuliwa....jamani jamani....Yeriko hapo ilikua 2011? I hope hadi sasa atakuwa amempata walau mwanamke atakayemtunza yule mamake kule iringa.

Similar Discussions

Back
Top Bottom