Huyu demu vipi? Moyo wangu unaanza kusita japo nimemfukuzia kwa mieze sita!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu demu vipi? Moyo wangu unaanza kusita japo nimemfukuzia kwa mieze sita!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Yericko Nyerere, Aug 12, 2011.

1. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#1
Aug 12, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,212
Likes Received: 3,777
Trophy Points: 280
Jamani kuna demu mkali ile mbaya nilimtokea tangu mwezi february 2011, tangu nilipoanza kumdondokea usoni amekuwa aniambia kuwa tutaongea nisubiri akipata nafasi!

Leo nikiwa mitaa ya samora sina hili wa lile mara namuona demu yupo mbele yangu akitabasamu kwa tabasaaaam kaliiii! Nikamsalimia kwa mbwembwe za kiume akajibu na kusema ananjaa na hana pesa basi nikamwambia twende steers apate msosi. Wakati akiendelea kula nami nikipata soda nikakumbushia kilio changu juu yake,akaniambia "naomba nikupe ukweli" akasema siku zote alizokuwa ananiambia nisubili ni kuwa alikuwa na boyfriend jana jamaa yake kamwambia ana demu mwingine hivyo kafurahi baada ya kuniona na kuanzia leo hupo tayari kuwa na mimi. Wakati akiendelea kuongea mara huyo jamaa yake akapiga simu na kumwambia yupo chuoni kwa demu yule anamsubiri!

Kwakuwa yule demu anajua kuwa mimi ninakampuni ananiomba kuja kufanya field kwa mgongo wa mapenzi,anasema ametafuta field kwingine kakosa!

Hivi hili ni penzi la kweli au ni gumashi? Kinachoniuma zaidi tangu miezi hiyo amekuwa akinipa matumaini ya kuwa na mimi huku akisema tatizo yupo bize hivyo ni mvumilie akipata tu nafasi tutaunga na kuwa chombo changu bila kuniambia kuwa anajamaaa!!

Moyo wangu unaanza kusita sasa kulikubali jibu lake japo nimelitafuta kwa mieze yote sita!

2. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#2
Aug 12, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,465
Trophy Points: 280
it comes with a price lol

3. Vin Diesel

Vin Diesel JF Gold Member

#3
Aug 12, 2011
Joined: Mar 1, 2011
Messages: 8,402
Likes Received: 737
Trophy Points: 280
mkuu jibu unalo kabisa...pigia mstari hapo.

4. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#4
Aug 12, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,465
Trophy Points: 280
sasa utam hukumu vipi wakati mambo hayajaanzaa?

wewe anza nae.mkoleze tu taratibu....

baada ya mwezi ndo utathmini

5. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#5
Aug 12, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,212
Likes Received: 3,777
Trophy Points: 280

Eheeeehee duh ndugu chombo nikikali balaa yani naona nikiingia chaweza kunikaa kichwani!!

6. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#6
Aug 12, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,465
Trophy Points: 280
sasa kikoleze basi ili uwe peke yako...

7. Jestina

Jestina JF-Expert Member

#7
Aug 12, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 4,806
Likes Received: 120
Trophy Points: 160
huyo dada sio kicheche sema yuko kny mahusiano yake mguu ndani mguu mwingine nje,hii inasababishwa na jamaa yake kutokuwa na msimamo thabiti juu ya maisha yao,wanawake sometimes tunakuwaga hivyo ukiona jamaa haelekei au yuko na wewe 50/50 hakupi fulll attention/hakukazi kisawa sawa tunaanza kutafuta attention somewhere else.......so amekuweka pending kwa sababu yuko na mtu na anashindwa kufanya uamuzi sio kwamba hakupendi,cha kufanya mpe ultimatum aaamue wewe au huyo jamaa yake,mwambie achague ila msisitizie mbaki friends,mkuu unaweza kumpa sehemu ya kufanyia field yake bila ya kufanya mapenzi,huyo dada yuko under a lot of pressure kukosa field ila mkuu usitake advantage akakubali kama maliipo yake hutafaidi na wala hamtafika mbali,mwambie utamsaidia hata kama hamtakuwa wapenzi.....
ungeiweka hii jukwaa la MMU usaidiwe vizuri

8. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#8
Aug 12, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,465
Trophy Points: 280

wewe wako ana ku nanihiii sawaswa lol
ningependa kumsaidia pande hizo lol

9. Shantel

Shantel JF-Expert Member

#9
Aug 12, 2011
Joined: Feb 7, 2011
Messages: 2,021
Likes Received: 24
Trophy Points: 0
Msaidie field kamaalivosema jestina, hapo utaweza hata kumwangalia kwa ukaribu mienendo yake. na ukiona shida kama unaweza mtafutia kwengine, mtafutie ili hata kama akiamua kuwa na wewe asijisikie kama analipa fadhila hivi

10. k

kisukari JF-Expert Member

#10
Aug 13, 2011
Joined: Jul 16, 2010
Messages: 3,754
Likes Received: 1,039
Trophy Points: 280
mmmh,kaachwa jana,siku ya 2 amekukubali wewe.kwa ninavyoelewa ukiachwa unakuwa na machungu fulani,labda uwe huna mapenzi na aliekuacha.ushauri wangu,be careful

11. Ngwanakilala

Ngwanakilala JF-Expert Member

#11
Aug 13, 2011
Joined: Jun 25, 2011
Messages: 396
Likes Received: 163
Trophy Points: 60
Mkuu majority ya wasichana wazuri huwa hawawi single. Yani kila akiwa na jamaa kunakuwa na jamaa wengine kibao wamepanga foleni. Na punde anapoachana na jamaa mmoja huwa anachagua moja ya jamaa walioko kwenye list anampa chance. Nadhani ni destine kuwa mmekutana 2 days baada ya yeye kumwagana na huyu fool mwengine. Unatakiwa u-seize the opportunity na kutawala hilo koloni kabla jamaa mwengine hajatawala. Invest kwa demu probably hiyo investment itakuja ku mature kama bonds na stocks. Demu kachanganyikiwa sasa hivi na wewe ndio unaweza kumpa comfort na direction. Take care of her she will take good care of you -- thats just how it is kwa mademu wazuri mkuu. They never stay single.

Kuna dada mmoja mzuri sana nilikuwa namtokea last yr nikawa siulizii kama ana bwana au vipi mpaka yeye mwenyewe akaniuliza mbona huniulizi kama nna bwana au vipi? Nikamwambia look- mtoto mzuri kama wewe huwezi kuwa single. mimi nimemwaga sera zangu now it is up 2 you kuamua kama uko impressed and convinced and make a decision. Nikajikusanyia!

12. Perry

Perry JF-Expert Member

#12
Aug 13, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280
Ka unataka kuchakachua thn usepe,fanya hvo tena haraka bt ka unataka mapenz ya kweli,huyo hakufai man!!

13. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#13
Aug 13, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,212
Likes Received: 3,777
Trophy Points: 280

Nashukuru kwa ushauri wako mkuu!

14. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#14
Aug 13, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,212
Likes Received: 3,777
Trophy Points: 280

Imenigusa hiyo kiongozi!

15. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#15
Aug 13, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,212
Likes Received: 3,777
Trophy Points: 280

Oky nitajitahidi japo sijui kama moyo wangu utashinda hili jaribu!!

16. C

Che-lee JF-Expert Member

#16
Aug 13, 2011
Joined: Jun 10, 2011
Messages: 319
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Kitafune kisha piga chini! Maana hawa mademu wakali wanajifanya sana, yani miezi sita anakupa matumaini tu leo kapigwa chini ndio anajileta? Bandua tena sana!!

17. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#17
Aug 13, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,212
Likes Received: 3,777
Trophy Points: 280

Duh ushauri wako mkali sana! Ngoja nitafakari mkuu.

18. Ozzie

Ozzie JF-Expert Member

#18
Aug 13, 2011
Joined: Oct 9, 2007
Messages: 3,234
Likes Received: 38
Trophy Points: 135
Huyo si mke wa kuoa, ni wa kutafunwa tu (No offense to women, hata wanaume wa kuchunwa tu wapo). Kama nia yako ni kutafuna tu na dini yako inaruhusu basi hapo umefika; lakini usisahau kinga. Kama wataka kuoa, labda anza kwa kumpa hiyo nafasi ya field ili uichunguze tabia yake japo kidogo. Wanawake wa kuoa wanajulikana tu. Hata ukikaa naye Steers watu wanawapa stahi.

19. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#19
Aug 13, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,212
Likes Received: 3,777
Trophy Points: 280

Hakika naufanyia kazi ushauri wako!

20. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#20
Aug 13, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Labda alijua yeye na mtu wake aliyekua nae wasingelast....labda anapenda kuwekea akiba kwa matumizi na mahitaji ya baadae maana angekutolea nje leo hii si ajabu akili ungeshahamishia kwingine.

Amua mwenyewe kama unampenda sana umchunguze kwanini hakukwambia ukweli toka mwanzo...kama nae alivutiwa na wewe toka mwanzo....na kama alivutiwa na wewe toka mwanzo vipi kuhusu huyo jamaa yake kwanini aliendelea kua nae?!

Ukishajua hataki kukutumia wewe kumpa wivu jamaa yake wala sio plan B pendaneni‘!Ila umwambie kabisa kwamba akitokewa na mtu wakati yuko na wewe awe na msimamo...kama ni ndio iwe ndio na kama ni hapana iwe hapana sio anakupangia na wewe msururu as if ameshaamua kwamba mtaachana muda sio mrefu!!

Loading...