Huyu demu vipi? Moyo wangu unaanza kusita japo nimemfukuzia kwa mieze sita!!

Gari ndio hilooo,ulikua unalitaka,sasa unakaribia kulipata,unasita tena!ongeza mafuta,chanja mbuga

Labda alijua yeye na mtu wake aliyekua nae wasingelast....labda anapenda kuwekea akiba kwa matumizi na mahitaji ya baadae maana angekutolea nje leo hii si ajabu akili ungeshahamishia kwingine.

Amua mwenyewe kama unampenda sana umchunguze kwanini hakukwambia ukweli toka mwanzo...kama nae alivutiwa na wewe toka mwanzo....na kama alivutiwa na wewe toka mwanzo vipi kuhusu huyo jamaa yake kwanini aliendelea kua nae?!

Ukishajua hataki kukutumia wewe kumpa wivu jamaa yake wala sio plan B pendaneni‘!Ila umwambie kabisa kwamba akitokewa na mtu wakati yuko na wewe awe na msimamo...kama ni ndio iwe ndio na kama ni hapana iwe hapana sio anakupangia na wewe msururu as if ameshaamua kwamba mtaachana muda sio mrefu!!

Nimeupokea ushauri wako Lizzy! Kwa mara ya kwanza Lizzy umenirejesha ktk hali ya ujasiri wa kiume! Nakushuru kwa ushauri wako mrembo Lizzy!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

umeonaeeh
kimsingi huyo hamfai, anajitafutia presha tu

Nimeupokea ushauri wako Lizzy! Kwa mara ya kwanza Lizzy umenirejesha ktk hali ya ujasiri wa kiume! Nakushuru kwa ushauri wako mrembo Lizzy!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Karibu...usisahau update sio unasubiri mpaka siku ukute simu yake imejaa text za kutongozwa na kutoa matumaini ndo uturejeshee matokeo!!

Ushauri wangu ni hapo kwenye sehemu ya msosi, sidhani kama kuna msosi steers zaidi ya kuku waliooza. next time nenda hata kwenye migahawa ya kawaida pale city center na utapata wali maini au wali samaki kwa sh 3000/= tu. kama unapenda misifa pale moven pick mchana lunch ya Bufee ni shilling 15,000/= tu
wake up.

Kwanza kama ukiacha kutumia hisia na kutumia akili utajua ukweli,halafu hakuna jambo lolote ulilodhamiria kulifanya likakosa muda,hiyo sababu ya kukosa muda nikiambiwa na mwanamke najua hana mpango na mimi,nachapa lapa fasta!

Labda alijua yeye na mtu wake aliyekua nae wasingelast....labda anapenda kuwekea akiba kwa matumizi na mahitaji ya baadae maana angekutolea nje leo hii si ajabu akili ungeshahamishia kwingine.

Amua mwenyewe kama unampenda sana umchunguze kwanini hakukwambia ukweli toka mwanzo...kama nae alivutiwa na wewe toka mwanzo....na kama alivutiwa na wewe toka mwanzo vipi kuhusu huyo jamaa yake kwanini aliendelea kua nae?!

Ukishajua hataki kukutumia wewe kumpa wivu jamaa yake wala sio plan B pendaneni‘!Ila umwambie kabisa kwamba akitokewa na mtu wakati yuko na wewe awe na msimamo...kama ni ndio iwe ndio na kama ni hapana iwe hapana sio anakupangia na wewe msururu as if ameshaamua kwamba mtaachana muda sio mrefu!!

teh teh hapa umevunja kila kitu, ok jamaa kamata ushauri mtamu huu

You need to talk......seriously! Ongea nae kabisa kwa marefu na mapana ujue msimamo wake kwako na pia upate uhakika kama kweli wameachana na huyo jamaa yake na kwamba hana mpango nae kabisa maana isije ikawa umekubaliwa kwa sababu ya field! And this time tumia zaidi akili kuliko hisia usije ukabaki kuwa mshika pembe!

Mabint huwa hamsemi ukweli!

binti anataka kitu kwako kwanini asikuchekee?

mie naona hana pango na wewe yaani hajakufia na hadi mlipokuwa mnakula alikuwa bado na bwana wake na wataendelea kuwa wote.

anaweza kuwa amezoea kugawa kupata anachotaka,sasa kazi kwako kama unataka kuchezewa nae na akili zake endelea kuzama

Ushauri wangu ni hapo kwenye sehemu ya msosi, sidhani kama kuna msosi steers zaidi ya kuku waliooza. next time nenda hata kwenye migahawa ya kawaida pale city center na utapata wali maini au wali samaki kwa sh 3000/= tu. kama unapenda misifa pale moven pick mchana lunch ya Bufee ni shilling 15,000/= tu

wake up.

Duh hii naisikia leo mkuu itabidi nifanye uchunguzi!!

Unataka uchunguzi wa nini, yaani kuku watoke South Africa mpaka uje kula wewe hapo utasema unakula kuku? jaribu kula kuku wa mtaani wa pale steers halafu pima mwenyewe, je bila zile spice wanazoweka kungekuwa na hata chembe ya ladha?

naona kuna hatari ya kufuata pesa kwako, kiukweli hakupendi, mtu anayekupenda ni siku moja tu kila kitu kinakuwa open

Wanawake wazuri tuna raha sn kuna m2 kachangia apo juu huwaga tuna list kbs mmoja akizingua unachukua cv ya mwingine unaajiri!proud to be hot kwakweli!

wewe ndugu yangu watu wametumia paka expiring date imefika ndo unatupiwa wewe? Acha ubwege wewe

Similar Discussions

Back
Top Bottom