Ni mchepuko wangu mpya, niko naye huu ni mwezi wa tatu. Sijawahi kumpa hela, jana nimelala naye usiku mzima, asubihi ananiaga anaondoka nimempa elfu tano ya nauli. Akaikataa, akasema asante anayo nauli.
Muda huu nampigia kumuuliza amefika wapi, nakuta nime-block-iwa, Simu na WhatsApp.
Nimueleweje?




Buku tano kwa aliye wako kwa nauli inatosha sana labda kuna tatizo mahali
Hapa ndipo tatizo linapoanzia mi nilikua na toto la kisomali limetimia kila idara na hata nauli yangu alikua hapokei anadai yeye hataki pesa ni mapenzi tu so pesa ifanye mipango ya maendeleo kwa kesho yetu sio hawa wadangaji.........mwanamke asipokua na tamaa hata siku akikuambia ana shida mwanaume unajipiga kweli kweli unajua kweli mtoto ana uhitaji ila sio hawa wauzaji,unataka nikupe kila tukikidhiana haja muda wa kukutunza nitautoa wapi? Hata ukiwa na shida siwezi kujali mpaka nipe nikupe....yes ndio inakua mazoeaYeaaah ...! Kwa mwanamke ambaye unamtunza hata ukija kumpa buku mbili au ukamlipia nauli tu kwenye daladala inaweza kutosha na bado akaendelea kukupenda.. Ila kwa hao Wanawake makupebwanao amini mwanaume ukila mzigo siku inayofuata basi untoe mpunga mzito.
Miezi mitatu kwa buku tano ni wastani wa Shs 55.55 kwa siku. Atakuwa Mpare huyo jamaa.Unamlala mtu kwa miezi mitatu kisha unataka umpe buku tano?
Hiyo elfu tano ndo imekuponza
Ni Mara ya pili ,Mara ya Kwanza sikumpa at Mia, anaondoka kwa furaha,baada Kama ya wiki mbili ananipigia kuwa ana shida nikamwambia kwa Sasa Sina avumilie Hadi mwisho wa mwezi, ndiyo tumeonana Jana Tena ,leo kanifanyia hayoo
5000!! Shame on you.Ni mchepuko wangu mpya, niko naye huu ni mwezi wa tatu. Sijawahi kumpa hela, jana nimelala naye usiku mzima, asubihi ananiaga anaondoka nimempa elfu tano ya nauli. Akaikataa, akasema asante anayo nauli.
Muda huu nampigia kumuuliza amefika wapi, nakuta nime-block-iwa, Simu na WhatsApp.
Nimueleweje?
Tena hakuombagi ela eti naww kujiongeza ujui unampa 5000. Au ni low clas sana5000!! Shame on you.
Wewe dau lako ngapi bibie?!Sasa elfu 5 ulimpa ya nini?? Bora usingempa kabisa. Elfu 5 hata mimi nakublock
Wewe dau lako ngapi bibie?!
At least 50k sio mbaya kwa nauli. Sasa buku tano hata bajaji haitoshiKwani nauli inaanzia shilingi ngapi? Maana naona wadau wengine wanasema 5k haitoshi? Au anaenda nje ya mkoa?
Kivipi Yani!Inategemea. Wengi wanakulaga bure tu
😂😂😂😂 Noma sanaUmejitaidi sana kuhonga pesa yote hiyo unahonga buku 5 tena cash.
Mm huwa nahonga misosi tu achukulie tumboni ila karatasi atarudi na ya kwake.
Ila ukiwa mbahili jitaidi kutongoza kila siku maana utaachwa kila siku
Kivipi Yani!
Mdada ni high class Sana Tena bonge la sister du,kwa Sasa ameni unblock tunaoeana salaam ila naskia aibu kumuita kipasha kiporoTena hakuombagi ela eti naww kujiongeza ujui unampa 5000. Au ni low clas sana