- Thread starter
- #61
Wenzangu huwa mnatoa ngapi?Hiyo buku 5 ndio tatizo
Ameona ceiling yako ipo tight sana
Wenzangu huwa mnatoa ngapi?Hiyo buku 5 ndio tatizo
Ameona ceiling yako ipo tight sana
Wenzangu huwa mnatoa ngapi?
Siwezi mkuu , ameonyesha dharau ya Hali ya juuWe wa hovyo sana. Unatunukiwa kitu usiku kucha ujikatie fungu lako halafu mtu anakuaga unampa 5 elfu. Hata aibu huna? Sasa mfuate kwake moja kwa moja ulale huko huko
Nawaza kwa sauti, yawezekana alihisi nalipia papuchi lakini sikuwa na lengo hiloKama huna bora usitoe
Kama unayo, toa ile aliyoomba, inaonesha kuwa mwanamke alikuchukulia kama mtu wake wa kudumu na ndio maana alikuomba hela ya kumuhudumia (sio ya malipo ya papuchi)
Baada ya kumpa hela (tena sio ile hela aliyoomba) mara baada ya kugonga ngozi akahisi unamlipa/unanunua penzi na si kumuhudumia
Sema wewe riki tukisema sisi oooo watasema tunauza.Kaka ebu tumia akili bhasi...!! Hivi mwanamke amekwambia ana shida hukumpa hata miaa...tena ukute alikudanganya hata hela ya kulaa alikuwa hanaa... DUDU SIO SOLUTION YA SHIDA ZAKE NDUGU YANGU alikuletea upunguze genyee lakini shida zake sio kwamba zimeishaa.
Sasa wewe kujikuta kauzu sijui ndo huna hela unampa buku 5..???? Kweli hapo nauli buku mbili hata hela ya kula hapatii..
Amu thamini utu na si pesa, hata Kama Ni ndogo angepokea tu na kwenda kumsaidia ata ombaomba njiani na siyo kuikataa mbele yangu, hi inamaanisha yeye Ni anapendaga makuu Sana.Sema wewe riki tukisema sisi oooo watasema tunauza.
Jitu linatia usiku kucha bi dada kapata shida hata hajiongezi kaomba mchezo kapelekewa usiku kucha tena anatoa 5,000.
Mie na matusi juu ningempa.
Kama hana hela anawezaje kusimamisha? Hayo ni matumizi mabaya ya nguvu za kiume
Amu thamini utu na si pesa, hata Kama Ni ndogo angepokea tu na kwenda kumsaidia ata ombaomba njiani na siyo kuikataa mbele yangu, hi inamaanisha yeye Ni anapendaga makuu Sana.



Tafuta pesa.Hiyo elfu tano ndo imekuponza
Ni mchepuko wangu mpya, niko naye huu ni mwezi wa tatu. Sijawahi kumpa hela, jana nimelala naye usiku mzima, asubihi ananiaga anaondoka nimempa elfu tano ya nauli. Akaikataa, akasema asante anayo nauli.
Muda huu nampigia kumuuliza amefika wapi, nakuta nime-block-iwa, Simu na WhatsApp.
Nimueleweje?
Alishawahi kuniomba nikamwambia Sina kwa wakati huo,labda alitegemea leo ndiyo atapewa akakutana na hiyo buku tano,akachukia.Kama hajawahi kukuomba hela basi sidhani kama tatizo litakuwa ni hiyo 5k uliyotaka kumpa.
Kuna matatizo mengine. Probably umepiga show dakika mbili mara wagiriki hao wametia timu.
Najiuliza maswali mengi sipati jibuAlishawahi kuniomba nikamwambia Sina kwa wakati huo,labda alitegemea leo ndiyo atapewa akakutana na hiyo buku tano,akachukia.
Kwani mnauza?
Kumbuka hakuna mahala mleta mada aliposema kwamba ndio anaenda kumtimizia hiyo shida yake kifedhaHatuuzi ila elfu 5 ya nini kwa mtu aliemlilia shida.?
Wenye vibamia ndio huwa tunaachwa hivyo mkuu mi mbona nishazoea.. jifute vumbi na uendelee na safari hakuna kujuta..![]()

























