- Thread starter
- #101
Mkuu usinionee Mimi si mpareMiezi mitatu kwa buku tano ni wastani wa Shs 55.55 kwa siku. Atakuwa Mpare huyo jamaa.
Mkuu usinionee Mimi si mpareMiezi mitatu kwa buku tano ni wastani wa Shs 55.55 kwa siku. Atakuwa Mpare huyo jamaa.



Ebu tafuta 50K mtumie fasta mdada wa watuMdada ni high class Sana Tena bonge la sister du,kwa Sasa ameni unblock tunaoeana salaam ila naskia aibu kumuita kipasha kiporo
😊😊mkuu angalau umenitia moyoHapana boss Kuna mpangaji wetu ilisha wahi kumyokea hii.nae tulijua kibamia.kumbe sio dunia imebadilika Sana mzee Wala usife moyo.
Huyo mwanamke alikuja kwa jamaa kumbe shida ilikua ni mtoto so mwanamke aliona mbegu za jamaa ni nzuri vitoto vitatoka vizuri na vitafanania na mme wake Alie muoa. Tulikuja kujua hilo baadae Sana alipo kuja kumtafuta jamaa ampe mimba nyingine![]()
Nimtumie vipi wakati sijamuita tenaEbu tafuta 50K mtumie fasta mdada wa watu
Mkuu wewe ungempa ngapi?Duuh....! Watu mna roho ngumu elfu 5 demu miezi mitatu kwelii?. Hata kama ni ubahiri si kwa kiwango hicho. Halafu baadae muanze kuwalaumu mademu kweli?
Elfu 5 sio hela na wewe acha kujiabisha bhasi...!!Mkuu wewe ungempa ngapi?
Mkuu nenda kapimeNi mchepuko wangu mpya, niko naye huu ni mwezi wa tatu. Sijawahi kumpa hela, jana nimelala naye usiku mzima, asubihi ananiaga anaondoka nimempa elfu tano ya nauli. Akaikataa, akasema asante anayo nauli.
Muda huu nampigia kumuuliza amefika wapi, nakuta nime-block-iwa, Simu na WhatsApp.
Nimueleweje?
Mbona viwandan vibarua Wana lipwa hiyo helaUsiku kucha elfu 5??? Kweli???![]()
Alitaka laki 2Ni mchepuko wangu mpya, niko naye huu ni mwezi wa tatu. Sijawahi kumpa hela, jana nimelala naye usiku mzima, asubihi ananiaga anaondoka nimempa elfu tano ya nauli. Akaikataa, akasema asante anayo nauli.
Muda huu nampigia kumuuliza amefika wapi, nakuta nime-block-iwa, Simu na WhatsApp.
Nimueleweje?
Nikapime nn?Mkuu nenda kapime
Alifanyaje huyo baharia wa 7800?nilink kwenye Hiyo thread nikajionee tafadhalHivi hujajifunza kwa yule baharia wa 7800 Mkuu??.
Yaani umkwangue mtoto wa watu halafu unamwachia 5,000/,tu??.Ni mchepuko wangu mpya, niko naye huu ni mwezi wa tatu. Sijawahi kumpa hela, jana nimelala naye usiku mzima, asubihi ananiaga anaondoka nimempa elfu tano ya nauli. Akaikataa, akasema asante anayo nauli.
Muda huu nampigia kumuuliza amefika wapi, nakuta nime-block-iwa, Simu na WhatsApp.
Nimueleweje?