sijui nani
JF-Expert Member
- Jan 5, 2016
- 297
- 308
Kinachokufanya uone aibu kumwita tena nini kama unaona ulichofanya ni sawa?Mdada ni high class Sana Tena bonge la sister du,kwa Sasa ameni unblock tunaoeana salaam ila naskia aibu kumuita kipasha kiporo
Sent from my SM-G960X using JamiiForums mobile app