Huyu dada nimueleweje?

Huyu dada nimueleweje?

Ni mchepuko wangu mpya, niko naye huu ni mwezi wa tatu. Sijawahi kumpa hela, jana nimelala naye usiku mzima, asubihi ananiaga anaondoka nimempa elfu tano ya nauli. Akaikataa, akasema asante anayo nauli.

Muda huu nampigia kumuuliza amefika wapi, nakuta nime-block-iwa, Simu na WhatsApp.

Nimueleweje?
Inawezeka show umeipiga kitajiri sana, mechi za majaribio hizo ndio hivyo umeishafeli interview tayari.
 
Mkuu mechi ilikuwa ya kibabe saana, na ndiyo maana slikubali kuja awamu ya pili
 
Fanya festival kwa kutua mzgo mkuu...no regret hapo#obheja
 
1. Umecheza chini ya kiwango
2. Yawezekana wewe ni Team Kiba
3. Dah! Usiku kucha 5k!????
 
Uzuri wanaume wenzio wanakusuuza.
Shida si buku 5 shida umjinga.
 
Amu wewe unasemaje kwenye hili?kosa langu Ni lipi?
Kaka ebu tumia akili bhasi...!! Hivi mwanamke amekwambia ana shida hukumpa hata miaa...tena ukute alikudanganya hata hela ya kulaa alikuwa hanaa... DUDU SIO SOLUTION YA SHIDA ZAKE NDUGU YANGU alikuletea upunguze genyee lakini shida zake sio kwamba zimeishaa.
Sasa wewe kujikuta kauzu sijui ndo huna hela unampa buku 5..???? Kweli hapo nauli buku mbili hata hela ya kula hapatii..
 
Kaka ebu tumia akili bhasi...!! Hivi mwanamke amekwambia ana shida hukumpa hata miaa...tena ukute alikudanganya hata hela ya kulaa alikuwa hanaa... DUDU SIO SOLUTION YA SHIDA ZAKE NDUGU YANGU alikuletea upunguze genyee lakini shida zake sio kwamba zimeishaa.
Rikiboy usinichukulie vibaya ,na yeye alitakiwa tu kuelewa kwa Sasa Sina, yeye alivyoikataa pesa yangu,unadhani Mimi nimemuelewaje, kwamba amedharau Ni ndogo Sana au?inatakiwa ashukuru ata kwa kidogo
 
Bhasi kimsingi inabdi upate ambae atakuelewa maana yeye ameshindwa mkuu na huo ndio ukweli.. Mwanamke kumvumilia mwanaume mwenye shida yataka moyoo sana ndo maana wanaume wengi wapo single sio kwamba wanapendaa..!! So achana nae shukuru amekupunguzia mzigooo utapata atakaekuelewa na hali yako mtaishi fresh tu ila USIMLAUMU.
 
Ni mchepuko wangu mpya, niko naye huu ni mwezi wa tatu. Sijawahi kumpa hela, jana nimelala naye usiku mzima, asubihi ananiaga anaondoka nimempa elfu tano ya nauli. Akaikataa, akasema asante anayo nauli.

Muda huu nampigia kumuuliza amefika wapi, nakuta nime-block-iwa, Simu na WhatsApp.

Nimueleweje?
Wakiomba hela mnawasema vibaya, wakikataa mnakuwa na wasiwasi. Sasa mnataka nini?
 
Wanaume ndio mlivyo sex mnataka matunzo hamtaki hata kwenye ndoa ndio wengine mlivyoo.
 
Bhasi kimsingi inabdi upate ambae atakuelewa maana yeye ameshindwa mkuu na huo ndio ukweli.. Mwanamke kumvumilia mwanaume mwenye shida yataka moyoo sana ndo maana wanaume wengi wapo single sio kwamba wanapendaa..!! So achana nae shukuru amekupunguzia mzigooo utapata atakaekuelewa na hali yako mtaishi fresh tu ila USIMLAUMU.
Shukrani
 
Duh yaani buku 5 hii hii tunayonunulia kondomu ili tugegede ndio imegeuka posho ya kulala na mtu usiku kucha? Alichelewa sana kukuacha. Wenzako tunatuma laki aweke vocha wewe unagegeda na kutoa buku 5
 
Hiyo buku 5 ndio tatizo

Ameona ceiling yako ipo tight sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom