Huyu dada nimfanye nini wadau?

Huyu dada nimfanye nini wadau?

Joined
Jul 26, 2015
Posts
49
Reaction score
30
Wakuu habarini humu,

Kama wiki mbili zimepita kuna ofisi moja maarufu sana hapa Mji wa Mawe aka Roku city,kuna Brother wangu ambae hapo ni Meneja sasa nikafika kwa ajili ya Interview ila Secretary hakunipokea vizuri na hata aliponiuliza kama nafuatilia kazi sikumjibu ukweli nikamwambia ni mambo binafsi.

Sasa nashukuru nimepata hyo nafasi na bahati nzuri namimi nimepewa cheo,ambapo huy dada anakuwa chini yangu

Hiv najiuliza sijui nimfukuzishe kazi maana alinipokea kwa nyodo sana.

Mwaonaje wakuu?
 
Wakuu habarini humu

Kama wik mbil zimepita kuna ofisi moja Maaruf sana hapa Mji wa Mawe aka Roku siti,Kuna Brother wangu ambae Hapo ni Meneja...Sasa nikafika kwa ajili ya Interview ila Secretary hakunipokea Vizuri na hata aliponiuliza kama nafuatilia Kazi Sikumjibu ukweli nikamwambia ni Mambo Binafsi.

Sasa nashukuru Nimepata hyo Nafasi na Bahat nzuri namimi nimepewa Cheo,ambapo huy Dada anakuwa chini yangu

Hiv najiuliza sijui nimfukuzishe kazi...Maana alinipokea kwa Nyodo sana.

Mwaonaje Wakuu...??

Toa takataka hyo au la akutunuku mambo yetu yale
 
Kuwa 'professional' otherwise hutakuwa tofauti na huyo dada! Au muelimishe kidogo juu ya weledi na kazi yenu itakuwa nzuri.
 
Nawachukia sana watu wanaoingia ofisini kwa migongo ya ndugu zao badala ya vigezo. Umekosa aibu hata unajisema mbele za watu. Kwa hiyo kwa kuwa kaka yako ni meneje pale ulitaka sekretari akupokee na mabusu?!

Shame on you.....CCM mkubwa we!

Huyu ni bavicha damuni.
 
Wakuu habarini humu

Kama wik mbil zimepita kuna ofisi moja Maaruf sana hapa Mji wa Mawe aka Roku siti,Kuna Brother wangu ambae Hapo ni Meneja...Sasa nikafika kwa ajili ya Interview ila Secretary hakunipokea Vizuri na hata aliponiuliza kama nafuatilia Kazi Sikumjibu ukweli nikamwambia ni Mambo Binafsi.

Sasa nashukuru Nimepata hyo Nafasi na Bahat nzuri namimi nimepewa Cheo,ambapo huy Dada anakuwa chini yangu

Hiv najiuliza sijui nimfukuzishe kazi...Maana alinipokea kwa Nyodo sana.

Mwaonaje Wakuu...??

Ukimfukuza Kazi umuweke Dada ako au?
 
Acha roho mbaya Dogo, Unaonekana una mambo ya kijinga na unaendekezq sana undugu na ukabila kwny mambo ya kazi...hivi ww hujui akili za Wanawake zilivyo? Mwanamke anaweza akakutukana na kukuletea dharau za kila aina lakini huyo huyo mwisho anskuwa chinj ya himaya yako!

Jiongeze dogo!
 
Hili ndiyo tatizo kubwa la vijana wengi katika kizazi hiki, wana mawazo mgando sana na hawaweki vipaumbele katika ufanisi wa kazi ili kuboresha maisha yao badala yake wanawaza mambo ambayo hayana msaada wowote kimaisha, akifukuzwa huyo dada wewe utakua umepata faida kiasi gani??? nina mashaka na hisa yako ya akili, usiwe mvivu wa kufikiri kijana@
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom