Hahaha eti dy/dx nimechekaaaaa...mpaka mathsAh mimi kwa kweli demu nisiyemfaham wala kumzoea naogopa sana kumfanyia dy/dx
Hahaha eti dy/dx nimechekaaaaa...mpaka mathsAh mimi kwa kweli demu nisiyemfaham wala kumzoea naogopa sana kumfanyia dy/dx
Hali zao ngumu saana....nowdaysIla bora hata hawa wengine wanajituma pia..Ila Kuna hawa mamodo wa insta,wao wanaume ndo vitega uchumi vyao.
Ni weekend ya juzi sasa asubuhi kapita dada wa mboga na mimi kwasababu weekend napenda kujipikia nikaamua ngoja nimuite ili ninunue mboga kidogo. Sasa amekuja pale nikachagua fungu zangu mbili na pesa nikampa.
Sasa ile nataka kuingia ndani nashangaa akaniambia "vingine hutaki"? Mi kwa mshangao nikauliza vipi hivo unavyouza vingine? Akanitolea ulimi nje kidogo halafu ananichekea.
Sasa kwa kuwa mimi mwana intelligencia wa daraja la juu kabisa la kusoma ishara za watu na body language nikajua tu huyu dada wa watu anataka nimvunjie amri ya sita akati mimi hizo swaga sinaga.
Ikabidi nijifanye sijamuelewa huku na mimi nikimchekea na kuingia ndani maana ningeendelea kumuangalia ningemvutia ndani nimpige viwili vya mkwezi maana kwenye ua naishi mwenyewe tu.
Funzo, hawa wadada wanaotembeza mboga majumbani kwa watu sio kabisa.
Hahahah ndo manake... hilo jina lako ngeni sana mkuuHahaha eti dy/dx nimechekaaaaa...mpaka maths
Hahaha mkuu huko nilishapita almost 6 years agoutakua umeanza tution za math form 5
Hapana mkuu namngojea wiki hii aje then nikishafanya yangu vitatu vya mkwezi ntakupa nambaHukuchukua namba zake unipe nifanye yangu
Umenikumbusha msela wa kitaa mke wake alisafiri jamaa akavuta manzi apone,dem c akomae kwmb hapo haondok tena ndo kafika jamaa katumia ujanja wote na ubabe dem kakomaa kwmba kafika hatoki ht waje boko haram siku km 2 jamaa hamletei msosi dem kumbe ana vihela anatuma chips tu.mke karud kamkuta mke mwenzie hapo paligeuka bagdadiNi weekend ya juzi sasa asubuhi kapita dada wa mboga na mimi kwasababu weekend napenda kujipikia nikaamua ngoja nimuite ili ninunue mboga kidogo. Sasa amekuja pale nikachagua fungu zangu mbili na pesa nikampa.
Sasa ile nataka kuingia ndani nashangaa akaniambia "vingine hutaki"? Mi kwa mshangao nikauliza vipi hivo unavyouza vingine? Akanitolea ulimi nje kidogo halafu ananichekea.
Sasa kwa kuwa mimi mwana intelligencia wa daraja la juu kabisa la kusoma ishara za watu na body language nikajua tu huyu dada wa watu anataka nimvunjie amri ya sita akati mimi hizo swaga sinaga.
Ikabidi nijifanye sijamuelewa huku na mimi nikimchekea na kuingia ndani maana ningeendelea kumuangalia ningemvutia ndani nimpige viwili vya mkwezi maana kwenye ua naishi mwenyewe tu.
Funzo, hawa wadada wanaotembeza mboga majumbani kwa watu sio kabisa.
Hahahahahaaaa hawa viumbe wa kike kuna saa akili zinawarukaUmenikumbusha msela wa kitaa mke wake alisafiri jamaa akavuta manzi apone,dem c akomae kwmb hapo haondok tena ndo kafika jamaa katumia ujanja wote na ubabe dem kakomaa kwmba kafika hatoki ht waje boko haram siku km 2 jamaa hamletei msosi dem kumbe ana vihela anatuma chips tu.mke karud kamkuta mke mwenzie hapo paligeuka bagdadi
Kama ni mkibosho atakuwa ndugu yangu...Kuna Mwalimu mmoja Wa kiume maeneo ya kibosho,
alikua single... ukienda kwake unakuta mabeseni kibao.
Ukimuuliza anakwambia yeye huwa Ana wala wauza matunda na mbogamboga. Anachofanya ni kwamba alikuta Mdada anauza maembe anamuuliza yote haya bei gani?
Binti akijibu Ana mwambia twende unanioshee unikatiekatie mengine niifadhi ktk friji. binti akifika kule jamaa anapiga machine na ananunua hadi beseni!!
Akija tena nitamla vibaya mnoNaantombe Mushi
Umeshindwa kutumia hii ID kutii kiu ya Dada?
Hawa mbona wako wengi sana, biashara ni kigezo cha kumtoa ndani mengineyo yatajisoma mbele kwa mbele.
Unamkuta mdada mkali ana kameza tu kamebandikwa matangazo ya mpesa kila kona ulizia huduma iliyopo utacheka sana.
Atakung'ang'anizia ununue line ya tigo mpaka utanunua tu hata kama hutaki
Siri ya mafanikio wanaiujua moyoni,wengi wao pale ni kina Wastara kulazimisha kupewa pesa na waume halafu hawana living cost,zote zinakua covered by someone.Kama yule mwenye kupamba maharusi mikocheni mme wake katibu mkuu wizara anadanganya alianza kutembeza karanga mtaaniHalafu utasikia eti 'malkia wa nguvu'
nenda wewe ukauze mbogamboga mitaani uone ilivyo ngumu...
mimi huwa nasikiliza tu hizi kampeni za malkia wa nguvu nabaki kiimya kabisa
Manzese kwa mfuga mbwaKwani unaishi maeneo gani mwenzetu?
Dhambi ni nini?Mkuu ninakupongeza sana kwa ujasiri huo wa kuepuka kutenda dhambi hasa ukizingatia kuwa tupo kipindi maalumu cha Kwaresma,sio wote wanaohimili vishawishi hata mimi siwezi,Mimi ni dhaifu sana Mwili na Roho ndio maana ninakusifu.
Ha ha haa,jina lako nalo ni shida,bajeti ya kunguru,mzoga!duh! unaroho ngumu aisee kumtolea nje demu!! mi siwezi hata aniamshe usiku wa maanani namgonga.
Tatizo umekariri,ungekuwa unajua maana ya huo weredi ungetulia tuli,unajikuta tu kuumiza kichwa bila sababu..Dah jamii forum weledi umepungua kama mtu adariki kupost pumba hivi forum imekuwa scrapper