Huyu dada muuza mboga kaniacha hoi

Huyu dada muuza mboga kaniacha hoi

Ni weekend ya juzi sasa asubuhi kapita dada wa mboga na mimi kwa sababu weekend napenda kujipikia nikaamua ngoja nimuite ili ninunue mboga kidogo. Sasa amekuja pale nikachagua fungu zangu mbili na pesa nikampa. Sasa ile nataka kuingia ndani nashangaa akaniambia "vingine hutaki"? Mi kwa mshangao nikauliza vipi hivo unavyouza vingine? Akanitolea ulimi nje kidogo halafu ananichekea.

Sasa kwa kuwa mimi mwana intelligencia wa daraja la juu kabisa la kusoma ishara za watu na body language nikajua tu huyu dada wa watu anataka nimvunjie amri ya sita akati mimi hizo swaga sinaga. Ikabidi nijifanye sijamuelewa huku na mimi nikimchekea na kuingia ndani maana ningeendelea kumuangalia ningemvutia ndani nimpige viwili vya mkwezi maana kwenye ua naishi mwenyewe tu.

Funzo, hawa wadada wanaotembeza mboga majumbani kwa watu sio kabisa.
Mkuu ninakupongeza sana kwa ujasiri huo wa kuepuka kutenda dhambi hasa ukizingatia kuwa tupo kipindi maalumu cha Kwaresma,sio wote wanaohimili vishawishi hata mimi siwezi,Mimi ni dhaifu sana Mwili na Roho ndio maana ninakusifu.
 
Toka dadapoa waanze kukamatwa wamekuwa wabunifu sana katika kuwafikia wateja wao wengine huwa wanatembea tu na barabara mchana akiangalia magari ukimpa lifti ndo umeenda kupiga
 
Ni weekend ya juzi sasa asubuhi kapita dada wa mboga na mimi kwa sababu weekend napenda kujipikia nikaamua ngoja nimuite ili ninunue mboga kidogo. Sasa amekuja pale nikachagua fungu zangu mbili na pesa nikampa. Sasa ile nataka kuingia ndani nashangaa akaniambia "vingine hutaki"? Mi kwa mshangao nikauliza vipi hivo unavyouza vingine? Akanitolea ulimi nje kidogo halafu ananichekea.

Sasa kwa kuwa mimi mwana intelligencia wa daraja la juu kabisa la kusoma ishara za watu na body language nikajua tu huyu dada wa watu anataka nimvunjie amri ya sita akati mimi hizo swaga sinaga. Ikabidi nijifanye sijamuelewa huku na mimi nikimchekea na kuingia ndani maana ningeendelea kumuangalia ningemvutia ndani nimpige viwili vya mkwezi maana kwenye ua naishi mwenyewe tu.

Funzo, hawa wadada wanaotembeza mboga majumbani kwa watu sio kabisa.
Kwani ni mbaya kama kavutiwa na wewe???z t a crime for her kukutaka???yawezekana Ndo mkweo huyo boss hivo ungeitika wito tuuu
 
Kwa hiyo unanishauri ningemgonga? Kama kweli kavutiwa na mimi atakuja tena na this time itabidi nisilaze damu
 
Kuna Mwalimu mmoja Wa kiume maeneo ya kibosho,
alikua single... ukienda kwake unakuta mabeseni kibao.
Ukimuuliza anakwambia yeye huwa Ana wala wauza matunda na mbogamboga. Anachofanya ni kwamba alikuta Mdada anauza maembe anamuuliza yote haya bei gani?
Binti akijibu Ana mwambia twende unanioshee unikatiekatie mengine niifadhi ktk friji. binti akifika kule jamaa anapiga machine na ananunua hadi beseni!!
 
Mkuu kwa Kweli afadhali ulimuacha maana wengine ni wadudu mtu wana nuksi kibao!

Wanaume tujifunze kutawala matamanio yetu siyo kila homa ni malaria
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom