Lost in translation...Hiyo avatar...unaweza kukuta mtu anahangaika na laki tano kumtafuta Gygy money
kumbe 'mambo iko hapa JF...
cc Kaboom Naantombe Mushi
Nimekumiss....!Salama kabisa hope uko poa
Hakuna msukuma ambaye hana mguu....[emoji12]mguu unao kuumbe?
Hakuna msukuma ambaye hana mguu....[emoji12]
Thanks sana kwa kunimissNimekumiss....!
Lost in translation...
Mhhhh???hata sitaki zawadi zako toka uanze kuniahidi mhhhh???basi subiri zawadi yako soon
Ila bora hata hawa wengine wanajituma pia..Ila Kuna hawa mamodo wa insta,wao wanaume ndo vitega uchumi vyao.Halafu utasikia eti 'malkia wa nguvu'
nenda wewe ukauze mbogamboga mitaani uone ilivyo ngumu...
mimi huwa nasikiliza tu hizi kampeni za malkia wa nguvu nabaki kiimya kabisa
Hapo unaweza kutoa bila shuruti aiseeHiyo avatar...unaweza kukuta mtu anahangaika na laki tano kumtafuta Gygy money
kumbe 'mambo iko hapa JF...
cc Kaboom Naantombe Mushi
Nope.Is that you...kwenye avatar?
Mhhhh???hata sitaki zawadi zako toka uanze kuniahidi mhhhh???
kwenye miti kweli hakuna wajenziNi weekend ya juzi sasa asubuhi kapita dada wa mboga na mimi kwa sababu weekend napenda kujipikia nikaamua ngoja nimuite ili ninunue mboga kidogo. Sasa amekuja pale nikachagua fungu zangu mbili na pesa nikampa. Sasa ile nataka kuingia ndani nashangaa akaniambia "vingine hutaki"? Mi kwa mshangao nikauliza vipi hivo unavyouza vingine? Akanitolea ulimi nje kidogo halafu ananichekea.
Sasa kwa kuwa mimi mwana intelligencia wa daraja la juu kabisa la kusoma ishara za watu na body language nikajua tu huyu dada wa watu anataka nimvunjie amri ya sita akati mimi hizo swaga sinaga. Ikabidi nijifanye sijamuelewa huku na mimi nikimchekea na kuingia ndani maana ningeendelea kumuangalia ningemvutia ndani nimpige viwili vya mkwezi maana kwenye ua naishi mwenyewe tu.
Funzo, hawa wadada wanaotembeza mboga majumbani kwa watu sio kabisa.
Mguu upi huo jamani..?Hakuna msukuma ambaye hana mguu....[emoji12]
Wanasema waswahili wa pemba wanajuana kwa vilemba....Mguu upi huo jamani..?
Mi mgeni hapa.
Na hii kamatakamata ya afande Siro hayo tuyategemeNi tatizo kwa kweli. Hata mimi niliogopa usikute kazi yake ni kujiuza na hiyo kuuza mboga ni geresha tu.