Huyu dada muuza mboga kaniacha hoi

Huyu dada muuza mboga kaniacha hoi

mk
Ni weekend ya juzi sasa asubuhi kapita dada wa mboga na mimi kwasababu weekend napenda kujipikia nikaamua ngoja nimuite ili ninunue mboga kidogo. Sasa amekuja pale nikachagua fungu zangu mbili na pesa nikampa.

Sasa ile nataka kuingia ndani nashangaa akaniambia "vingine hutaki"? Mi kwa mshangao nikauliza vipi hivo unavyouza vingine? Akanitolea ulimi nje kidogo halafu ananichekea.

Sasa kwa kuwa mimi mwana intelligencia wa daraja la juu kabisa la kusoma ishara za watu na body language nikajua tu huyu dada wa watu anataka nimvunjie amri ya sita akati mimi hizo swaga sinaga.

Ikabidi nijifanye sijamuelewa huku na mimi nikimchekea na kuingia ndani maana ningeendelea kumuangalia ningemvutia ndani nimpige viwili vya mkwezi maana kwenye ua naishi mwenyewe tu.

Funzo, hawa wadada wanaotembeza mboga majumbani kwa watu sio kabisa.
uu ungepiga viwili vya afya,hua nao wanapata genye
 
Kuna Mwalimu mmoja Wa kiume maeneo ya kibosho,
alikua single... ukienda kwake unakuta mabeseni kibao.
Ukimuuliza anakwambia yeye huwa Ana wala wauza matunda na mbogamboga. Anachofanya ni kwamba alikuta Mdada anauza maembe anamuuliza yote haya bei gani?
Binti akijibu Ana mwambia twende unanioshee unikatiekatie mengine niifadhi ktk friji. binti akifika kule jamaa anapiga machine na ananunua hadi beseni!!
Huyo chiboko sasa
 
Dah jamii forum weledi umepungua kama mtu adariki kupost pumba hivi forum imekuwa scrapper
 
Ndo maana kuna kondomu. Tena wakati mwingine ni salama zaidi kutiana na demu usiyejuana naye kuliko huyo unayedhani unamfahamu sana.
Asante mkuu kwa kunifumbua this time sitafanya makosa najua atakuja tena
 
Halafu utasikia eti 'malkia wa nguvu'
nenda wewe ukauze mbogamboga mitaani uone ilivyo ngumu...

mimi huwa nasikiliza tu hizi kampeni za malkia wa nguvu nabaki kiimya kabisa
Umeona eee Mkuu!!? Kumbe siyo nguvu, ni malkia wa katikati
 
Kweli kwa mwendo huu tutaendelea kuitwa wanaume suruali
Hapana, si kwa style hii. Ngono zembe hazifai na ni hatari. Alichofanya ni sahihi maana wakati mwingine kujitia urijali ndio kubeba magonjwa ya zinaa au kutapeliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom