Huyu dada muuza mboga kaniacha hoi

Huyu dada muuza mboga kaniacha hoi

Hichi ndicho huwa kinawafanya wadada kuogopa kusema wanatupenda..! Sasa wewe kaanzisha afu unamchunia angalau ungemtania kidogo km ulikuwa utaki mzigo asijisikie vibaya.
 
[QUOTEPemba eari ya hapa, post: 15593874, member: 114221"][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Halafu wewe bwana waniacha hoi[/QUOTE]
Kwenu pemba?
 
Mmh wale wa sinza ndo wameamua kupiga kazi kwa style hiyo nn, kweli police noma daaah nasikia 500 wapo ndani ila huyo naona aliusoma mchezo akachange strategy
 
Hichi ndicho huwa kinawafanya wadada kuogopa kusema wanatupenda..! Sasa wewe kaanzisha afu unamchunia angalau ungemtania kidogo km ulikuwa utaki mzigo asijisikie vibaya.
Unajua alinishtukiza ndo mana nlikosa response ya maana ila kama akija tena ataliwa..
 
Hakuwa mzuri hiyo muuza mboga otherwise hii story ingekuja kivingine maana ungepiga tu.
 
Airtel imetoa fursa na kuwawezesha wajasiriamali wadogo wadogo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom