Huyu dada muuza mboga kaniacha hoi

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,663
Ni weekend ya juzi sasa asubuhi kapita dada wa mboga na mimi kwasababu weekend napenda kujipikia nikaamua ngoja nimuite ili ninunue mboga kidogo. Sasa amekuja pale nikachagua fungu zangu mbili na pesa nikampa.

Sasa ile nataka kuingia ndani nashangaa akaniambia "vingine hutaki"? Mi kwa mshangao nikauliza vipi hivo unavyouza vingine? Akanitolea ulimi nje kidogo halafu ananichekea.

Sasa kwa kuwa mimi mwana intelligencia wa daraja la juu kabisa la kusoma ishara za watu na body language nikajua tu huyu dada wa watu anataka nimvunjie amri ya sita akati mimi hizo swaga sinaga.

Ikabidi nijifanye sijamuelewa huku na mimi nikimchekea na kuingia ndani maana ningeendelea kumuangalia ningemvutia ndani nimpige viwili vya mkwezi maana kwenye ua naishi mwenyewe tu.

Funzo, hawa wadada wanaotembeza mboga majumbani kwa watu sio kabisa.
 
Nahisi alikuwa mchafu sana
kama angekuwa anafikia matamanio yako
ungenunua vyoote kabisa
na kesho ungemsubiri apite tena
Hahaha mkuu Boss alikuwa yupo vizur tu sema alinionesha signal ya kutokuogopa ndo mana na mimi nikaingia woga maana nlishasema huyu anaweza kuwa changudoa na hiyo ya kuuza mboga ni geresha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom